SIMULIZI: Mama mkwe

Hadithi tu rafiki...
Nitaisoma halafu inaonekana una kipaji kizuri cha uandishi, Vipi una plan hata ya kuiendeleza hii fani? Maana Fani/Kipaji ndio kinacholipa kuliko hata ajira za kuajiliwa
 
Usukumani hakuna hizo ishu za Kichawi kwanza wakikuhisi ni Mchawi lazima wapite na kichwa chako. Tuombe msamaha Just Nana 😅 😅 😅
 
Nitaisoma halafu inaonekana una kipaji kizuri cha uandishi, Vipi una plan hata ya kuiendeleza hii fani? Maana Fani/Kipaji ndio kinacholipa kuliko hata ajira za kuajiliwa
Nipo kulitafakari hilo bro...ngoja tuone mapokeo my dear...thanx ...am gratefully!
 
Tunapopambana kuomba ndoa ,tusisahau kuombea na familia tunazoenda kuolewa....Be blessed...Mungu awatunze...
Napenda ur stories zinajenga, na kutufanya wapya kila siku ,
MUNGU NI MWEMA , TUNASUBILI NYINGINE ZAID
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…