albuluushiy
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 1,404
- 685
Mjukuu wa chifu mwaga mzigo ukafanye revision
Ebhana eeeh nilikuwa na 500 ili ninunue vocha nashangaa kumbe nilinunulia soda Jana duhMjukuu wa chifu mwaga mzigo ukafanye revision
Acha kuzingua au unatuonea kwa sababu umeshika mpini.Ebhana eeeh nilikuwa na 500 ili ninunue vocha nashangaa kumbe nilinunulia soda Jana duh
kwakweli waeza jikuta ,huishi kwa amani...Hii hadithi mwisho.si Kwa mauza uza hayo.ila nzuri mpaka inakufanya hata ukiumwa na kichwa utaona umechezewa
ubarikiwe my kipenzi japo nimechelewa kuitikia wito jaman
Mkuu nimeipendaWeka mambo ayo