Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Sarah Njau anyongwe😂sanaa yan walikua na mahaba flan ivii atarihadi panya sarah alipotokea na kuharibu tena
![]()
Sarah Njau anyongwe😂sanaa yan walikua na mahaba flan ivii atarihadi panya sarah alipotokea na kuharibu tena
![]()
Sarah sio tishio tena.Sarah Njau anyongwe😂
Unataka kusema Pamela aliivunja masharti 😂walipendana bwana mahaba hayakumaliza hata mwezi yakaingiwa na jini mkata kambarodney ana mahaba nyie ohoooo
Wewe si ni balozi wetu kwa nini usiendelee kutupatia vitu?zipo telegrammwandishi anauza
Wewe si ni balozi wetu kwa nini usiendelee kutupatia vitu?
Tumshauri tu apige screen shot tumalize hii story then tutajoin huko telegram ili tusome simulizi zingine mwanzo mwisho.Anasema mwandishi amezuia copy and forwarding hivyo itakuwa ngumu kwake kuleta story humu. Kutype ni kazi sana
Unataka kusema Pamela aliivunja masharti![]()



walianza kupendana shida ya rodney ni sarah
yan sijui alimfanya nn rodney wetu hadi akasahau mtoto na mke wake
Anasema mwandishi amezuia copy and forwarding hivyo itakuwa ngumu kwake kuleta story humu. Kutype ni kazi sana


Tumshauri tu apige screen shot tumalize hii story then tutajoin huko telegram ili tusome simulizi zingine mwanzo mwisho.
Ni maoni yangu tu






yan kunzia 650-1300?? are you serious???Yesare you serious???
Nitumie basi telegram kama hutajalisitawezaa aiseee ni ndefuu sanaaa
Mnatia huruma😪😂Chubbylady tafadhali
wewe ni aje?Mnatia huruma😪😂
Wewe je ?Mnatia huruma😪😂
Natamani pia iendelee ila tayari imeingia dosari kidogo maana tayari mwandishi amesema hawezi kutype.Wewe je ?
Huna wazo mbadala ?Natamani pia iendelee ila tayari imeingia dosari kidogo maana tayari mwandishi amesema hawezi kutype.
Nitumie basi telegram kama hutajali