gilbert35
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 253
- 476
SIMULIZI YA MAISHA: KWANINI MIMI? 01
MWANDISHI : MIKA AUTHOR
MSAMBAZAJI: Simulizi za Gilbert
MAWASILIANO: +255621249611
Kuna kitu kisichokuwa cha kawaida kilikuwa kwenye maisha yao.Maisha yao yote,Baba tatu na mama tatu walikuwa wakitafutiana wapenzi wa pembeni,yaani mume ambaye ni baba tatu alikuwa akimtafutie mke wake wanaume,na mke ambaye ni mama tatu alikuwa anamtafutia mume wake wanawake.Kuna siri nzito iliyojificha nyuma yao.Kuijua siri iyo na mengine mengi ungana nami katika simulizi hii.
" Mume wangu jifiche.Akikuona ataogopa.Ingia jikoni ujifiche" mama tatu alimwambia mumewe.Na mumewe bila iyana aliingia jikoni kujificha.Baada ya kuona mumewe amejificha ,haraka sana mama tatu alimfata hans aliyekuwa naye chumbani na kutokana naye nje.
Wakati wanapita jikoni mama tatu alitoa macho kuangalia pale jikoni.Wakati anaangalia macho yake yalikutana na macho ya mumewe ambaye alikuwa anawachungulia .Alimbinyia jicho kisha atatoka na hans hadi nje .
" mmmmh ,aya mambo kuyafanyia nyumbani kwako ni hatari sana.Kwanza hata raha yenyewe inakuwa haipo.Siku nyingine tusikutania hapa" aliongea hans.
" Acha uwoga.Mbona mimi nimeenjoy tu" alijibu mama tatu.
" Basi ngoja mimi niende.Asije akatokea mume wako hapa halafu ikawa balaa" aliongea hans kisha akamkumbatia mama tatu na kumkiss .Kabla hajaondoka mama tatu alifungua pochi na kutoa elfu hamsini akamkabizi hans.
" shika hii itakusaidia kwa nauli" aliongea mama tatu.
Baada ya hans kuondoka.Mama tatu alirudi ndani na kumkuta mumewe bado yuko jikoni. " Ameshaondoka.Toka huko jikoni" aliongea mama tatu.
" ok sawa.Lakini kijamaa chako chenyewe mbona kinaonekana kioga sana" aliongea baba tatu.
" kibanadamu kawaida ,lazima awe mwoga" alijibu mama tatu.
" Halafu nimekumiss sana mke wangu." aliongea baba tatu huku akimshika mkono mkewe.
" mmmh! Unachotaka leo haiwezekani mume wangu.Huyu jamaa kanichosha sana.Kukutana na wewe tena kwa leo haiwezekani.Hapa inabidi nikaoga halafu nipumzike.Maaana shughuli ya yule kijana sio mchezo"
" Sawa mke wangu usijali.Kama amekufurahisha na kukurizisha kabisa mimi sina neno.Ninachotaka ni wewe ufurahi" aliongea baba tatu.
" Asante kwakunielewa.Lakini kama unahamu sana ,si uende kwa yule dada niliyemdanganya kuwa wewe ni kaka yangu.Maana nilikutongozea akakubali.Kilichobaki ni wewe tu"
" Lakini yule si anakaa na wazazi wake?"
" Ndio bado anakaa kwa wazazi wake."
" Daaah ,sasa kama bado anakaa kwa wazazi wake mbona ni tatizo"
" aaah! Tatizo kivipi mume wangu?"
" Hawa mabinti wanaokaa kwa wazazi wao kwenda nao lodge ni hatari sana ?"
"haina haja ya kwenda lodge mume wangu.Wewe wasiliana naye uje naye hapa hapa nyumbani"
" mmmh! Sasa mama tatu,Akija hapa nyumbani na kuona nguo zako hizi chumbani si atajua wewe ni mke wangu? Huoni kama mambo yataharibika"
" usijali hawezi kujua.Nguo zangu zote humu chumbani nazitoa.Zinabaki za kwako tu.Na kila kitu nakiweka vizuri.Akija hawezi kujua kama una mke"
" sawa,lakini saiz usiku.Nikimpigia simu akija wewe utaenda wapi?"
" Nitaenda wapi kivipi.Mimi nitajifungia chumba cha wageni.Hivyo hataniona.Na hata kama ikatokea akaniona sio tatizo kwasababu anajua wewe ni kaka yangu.Hivyo kuwa na amani baba tatu wangu."
" ok sawa mke wangu lakini yule mwanamke umejua kunichagulia aisee.Ni mzuri kweli kweli yaaani"
" kwani siku nyingine nakuchaguliaga wabaya.Mbona siku zote uwa nakutongozea wanawake wazuri tu.ila wewe sema wanaume unaoniunganishia wengine wanakuwa sio."
" wanakuwa sio kivipi mke wangu?"
" aaah! Wengine wanakuwa wachafu sana.Yaani hadi hamu ya tendo lenyewe inapungua.Yaani unakuta kwa nje msafi lakini kwa ndani ni mchafu balaa.Kitendo cha kuvua tu nguo ,unakuta boxer zinaanza kutoa harufu"
" aaaah! Mimi sijawahi kukuunganishia mwanaume mchafu bana.Huyo mchafu labda ulimtafuta mwenyewe"
" hujawahi wapi.Unamkumbuka fred yule kinyozi wa pale saloon"
" Ndio namkumbuka."
" sasa yule namba yake si ulinipa wewe. Sasa kwa taarifa yako yule kaka ni mchafu hakuna tena.Nilijuta kukutana naye"
"Duuuh! Basi nisamehe kwa ilo mke wangu.Leo wakati narudi nimekutana na jamaaa mzuri kinoma.Kwanza ni mrefu halafu amejazia jazia"
" kweli mume wangu?"
" Ndio ni kweli."
" ulivyomuona anasixpack?"
" Ndio anazo.Ni handsome balaaa"
" duuuh! Ulifanikiwa kuchukua namba yake.Maana inavyoonekana nitaenjoy sana kwake"
" usijali namba yake nilichukua,yaani nilivyomuona tu.Nilikufikiria wewe.Nilijua ukimpata yule utaenjoy sana.Namba yake hii hapa .Mpigie muongee" aliongea baba tatu huku akimuonyesha mke wake namba ya simu.Mke wake aliinakiri namba kwenye simu yake na kisha akatuma message.
" sasa mke wangu huyo jamaa utachati naye siku nyingine.Naomba kwasasa katoe nguo zako chumbani ili yule dada akija ajuwe sina mke ." aliongea baba tatu.Mama tatu alisimama na kwenda chumbani kwao kutoa nguo zake zote .Alitoa nguo zake na kukiweka chumba vizuri.Kwa jinsi alivyokifanya ,mwanamke yeyote ambaye angekuja lazima angejua baba tatu hakuwa na mke.
..........
Monica akiwa nyumbani kwake.Sms iliingia kwenye simu yake.Alipoifungua alikuwa ni baba tatu. " tuonane basi mke wangu mtarajiwa"ilisomeka ile sms kwenye simu yake.Monica moyo wake ulishaanza kumpenda baba tatu.Kilichomfanya ampende zaidi ni kitendo cha mama tatu kumpigia simu mara nyingi na kumuita wifi.
" Huyu mbaba atakuwa ananipenda sana.Yaani kawaambia hadi ndugu zake.Dada yake karibu kila siku ananitumia sms.Huyu hataki kunichezea anataka kunioa tu" aliwaza monica.Alichukua simu yake na kumjibu " haina shida baby,sema tu wapi tuonane" alijibu monica.
Sms ile ilimfurahisha baba tatu akaisoma kisha akampa na mke wake aisome.Baada ya hapo akamjibu kuwa ajiandae atamtuma dereva yebo akamchukue na kumleta nyumbani kwake.Baada ya kumwambia hivyo alimgeukia mke wake na kumwambia." aisee yule dada anakuja.Naomba toa nguo zako chumbani haraka na uondoke au ukakae chumba kingine" aliongea baba tatu.
....,.....
Wakati ayo yanaendelea .Kwenye kijiwe cha boda boda madereva bodaboda walikuwa wanazungumzia matendo ya baba tatu na mama tatu.
" Nyie wale watu sio bure.Lazima kuna kitu kilichojificha.Haiwezekani mume amtafutie mke wake michepuko ,na mke pia eti anamtafutia mumewe wanawake.Wale sio bure lazima kunakitu kilichojificha" aliongea mussa na kuungwa mkono na wenzake.
" aisee kweli mussa ,pale lazima kutakuwa na kitu .Sio bure" alijibu ally
............
Wakati ayo yanaendelea.Hans kijana aliyetoka kufanya mapenzi na mama tatu,Mwili wake haukuwa sawa.Alihisi kama amepungukiwa na kitu. " mmmh! Mbona mwili wangu haupo kawaida.Mbona kama nimepungukiwa na kitu flan" aliwaza Hans.
=== kuna nini? Kwanini hans anajihisi tofauti? Kitu gani kimetokea kwenye mwili wake? ,kujua ayo na mengine mengi tukutane sehemu inayofata====