Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 773
- 668
Hii ni simulizi ya kijana Musa, kijana ambaye ametafuta kazi kwa miaka mingi bila kupata, katika matembezi yake, Musa anakutana na Bibi ambaye anamshauri aende kuombewa katika kanisa, anakwenda huko na kupokea maombi yake.
Anataka kurudi nyumbani, lakini anazuiliwa na kuambiwa anayeingia humo huwa hatoki. Songa nayo.
View: https://youtu.be/XvfST1151EQ
Anataka kurudi nyumbani, lakini anazuiliwa na kuambiwa anayeingia humo huwa hatoki. Songa nayo.
View: https://youtu.be/XvfST1151EQ