HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
Story
TRUE HEART
Mtunzi
Ochu ruvuly
Whtsapp
0762374269

{ sehemu 2 } 


Tunaendelea........
Walioposogea karibu ghafla walimuona nyoka mkubwa aina ya chatu akimkaribia yule mtoto na kutamani kummeza lakini kutokana na uhodari wa mzee huyo alimfukuza yule nyoka.

Kisha akamchukua yule mtoto akarudi nae nyumbani, alipofika nyumbani akampatia huduma ya kwanza kisha akamlaza sehemu nzuri yenye hewa ya kutosha. Baada ya kupita muda kidogo yule mtoto alirudisha fahamu kisha akawa analia.

Mzee yule alisikia kilio hicho alitoka nje haraka alipomsogelea mtoto, mtoto alionesha ishara ya kumwogopa mzee huyo, mzee alimsogelea kisha akamsihi kuwa yupo eneo salama na aondoe wasi wasi

Kijana huyo alitulia ndipo mzee yule akamasogelea na kuanza kuongea nae mzee alisema kijana mimi ninaitwa mzee [HASHTAG]#Omary[/HASHTAG] ni mkazi wa eneo hili na hapa tulipo ndio nyumbani kwangu, wewe unaishi wapi ?

Mtoto alianza kulia, alilia kilio kilio kile kilimpelekea mzee omary nae akatoa chozi. Mtoto akasema jina lake anaitwa [HASHTAG]#Azmath[/HASHTAG] ni mkazi wa kijiji cha nne kutoka kijiji hicho, kule kijijini kwao alikuwa anaishi na bibi lakini baada ya bibi kufariki .

Alipelekwa kwa shangazi yake, shangazi huyo alikuwa na mtoto mmoja wa kike, maisha ya huko kwa shangazi yake yalikuwa ni maisha ya mateso, kunyanyaswa n.k , Mtoto anasimulia sababu ya kutoroka kwa shangazi yake ilikuwa hii , Siku moja usiku wa saa6 shangazi yake alirudi nyumbani na wanaume watatu wote wakiwa wamelewa , waliingia hadi ndani shangazi alifika akalala moja kwa moja


Mtoto wa shangazi aliingia chumbani kwa shangazi na nilisikia akiomba msaada nilikwenda ndani haraka nikawaona wale wanaume wanataka kumbaka mtoto wa shangazi nilitafuta msaada nikakosa kutokana na udogo niliokuwa nao nilikuwa sina nguvu ya kupigana nao , Pembeni niliona [HASHTAG]#Panga[/HASHTAG] nilichukua lile panga kisha...........



Usikose sehem3 maona na ushauri ni muhim ahsante
Ochu ruvuly