Mkuu
Elton Tonny tunakushukuru kwa burudani hii,ila nakuomba man,chonde chonde Fanya uimalizie ile ya INVISIBLE, sijui nini kilitokea ukaishia njiani,labda ni tatizo LA kiufundi lakini ulipaswa kutujiza mashabiki zako kuwa nini kilitokea hadi mzigo ukakatia njiani