Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,439
- 2,576
Humu kuna coup za kweli au mnatania??
tunataniana tu mkuu uwe na amani
si hivi babe, we hujachoka haya maswali?Babe, ndio hivi
kwa hiyo hatuko serious??? Kwa mfano ukijibu sawa unafemea nini beb hela??? Vocha?? Sim inayeyuka??? Maneno yanaftikasi hivi babe, we hujachoka haya maswali?
@mwifwa hua haishiwiasante beb, akijibu nitag tena
Mie bukheri kabisa namshukuru MunguMimi mzima, hofu kwako.
Hunizidi mimi my...
Anipende kabisa kadri nitakavyoridhikaakupende mara ngapi?? au unataka upendwe vp?
@archduke anamiliki moyo wote kias kwamba sioni nafasi yako kokote paleMoyo una vyumba vinne, kimoja cha Archduke, kingine cha kusukumia damu.
Vinabaki vyumba 2, hivyo unavipeleka wapi?
Naomba nimiliki chumba kimoja tafadhali[emoji41][emoji41]
yan sisi tunatania hili bango meshika had lichanike sikuelewi.
yaaniulinambia unakuja kivingine na kazi yako ya upenzi utazamaji sasa nakuona
hiki kitu unekula leo naomba usile tena.Anipende kabisa kadri nitakavyoridhika
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Babe wangu nipo naye huku, hapa atakuja baadae sana