Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,575
Ngoja nichukue popcorn kabisa....Mtunzi Nyemo Chilongani sehemu ya 01
SEHEMU YA 01
Mvua kubwa ilikuwa ikinyesha, mitaro midogo ikaanza kujaa maji huku baridi likianza kupiga kwa nguvu ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Waliokuwa ndani ya nyumba zao, wakajifungia huku wale waliokuwa barabarani wakinunua miamvuli kwani mvua ile kubwa haikuonekana kuwa na dalili za kupungua hata mara moja.
Watu wengine walikuwa wakikimbilia sehemu zilizokuwa na uwezo wa kuzuia wasilowanishwe na mvua hiyo, wengine, walikubaliana na kile kilichokuwa kikiendelea hivyo kuendelea na kazi zao au safari zao huku wakiendelea kulowa.
Nje ya nyumba moja kubwa, msichana mrembo, mwenye sura nzuri, aliyekuwa na umbo lenye mvuto ambalo vijana wa sasa wangeliita namba nane alikuwa amesimama huku mkononi mwake akiwa ameshika furushi la nguo lililokuwa na nguo nyingi zilizofungwa kwa khanga.
Pale alipokuwa, macho yake yalikuwa mekundu, alikuwa na kitu moyoni mwake, hakuonekana kuwa mwenye furaha hata mara moja, baada ya dakika chache, machozi yale yaliyojikusanya machoni mwake yakaanza kumbubujika mashavuni mwake.
Msichana huyu aliitwa kwa jina la Irakoze, baba yake alikuwa Mnyarwanda na mama yake alikuwa Mnyaturu kutoka mkoani Singida.
Historia ya maisha yake ilianzia mbali, miaka miwili iliyopita, alikuwa akiishi mkoani Singida ambapo baadaye mwanamke aliyeitwa kwa jina la Hadija aliyetoka jijini Dar es Salaam akafika kijijini kwao na kumchukua kwa lengo la kwenda kufanya kazi katika nyumba yake iliyokuwa Magomeni jijini Dar.
Hilo ndilo lilikuwa lengo lake, aliporuhusiwa kumchukua, akaenda naye Dar ambapo huko baada ya kuishi kwa mwezi mmoja tu, wanaume wakaanza kumtongoza kwani ule urembo aliokuwa nao ulimvuta kila mtu aliyekuwa akimwangalia.
Uoga ulimjaa moyoni mwake, maneno aliyopewa na Bi Hadija kwamba kama angefanya ujinga na wanaume hao basi angefukuzwa na kurudishwa kijijini, ukamuogopesha na hivyo kila mwanaume aliyemfuata, alimwambia kwamba hamtaki.View attachment 1053711
Cc Norshad Tumosa bobefu zoefu PAKAYA Ibney blackstarline Bryece Tater, Bigjahman moneytalk, marybaby, nipo2, Bishop Hiluka ram, kisukari, Smart911, Madame S, carbamazepine, Astelia, culture gal , Prisoner of hope, dumejeuri kuku mweus, Thad, hearly, moneytalk, Kinondoni Sweetheart Mine eyes, swahiba92, ludist, Toyota escudo, Clkey, macson3, boga la kiangazi, Richard @irakunda, skfull, popie, Krizy Beat, Super EMILY, WISDOM SEEDS MWINDAJI @HARAMU kakhulu Katavi Norami mbududa SUPER EMILY iron2012 popie Albinoomweusi SPYMATE Rubawa Tieli Kingsharon92 jane Msowoya ADK babu na mjukuu
Hii story ina arosto jamani makelele ya arosto siyataki nimeishia hapa mpaka itakapopostiwa tena
Vipiiiii prisoner
Hahahhahahha mwanaume una wivu wwNiliota leo nitapewa special tag. Sasa gafula nakuta si mimi....moyo ukafanya paaah!!!
Ila bac, acha niwe mpole tu...nitafanya nini tena??????!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahahha mwanaume una wivu ww
Nimefika dear, asante sana. Natiririka nayo hapa mdogo mdogo
Hahahahaa, pole kwa kuteseka mkuu[emoji38]Niliota leo nitapewa special tag. Sasa gafula nakuta si mimi....moyo ukafanya paaah!!!
Ila bac, acha niwe mpole tu...nitafanya nini tena??????!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa, afu nimegundua Prisoner of hope ana ligi sana na mimi kuliko Bishop[emoji2][emoji2]Hahahhahahha mwanaume una wivu ww
Ahahaha me nishanyanyua mikono juu bhana......papuchi za bundas liga huwa siziwezi kabisa.Hahahahaa, afu nimegundua Prisoner of hope ana ligi sana na mimi kuliko Bishop[emoji2][emoji2]
the Legend☆
Nimeshapoa ndugu.....ndio maisha haya, nitafanyaje tena na mimi ndio mwana mnyonge tena.Hahahahaa, pole kwa kuteseka mkuu[emoji38]
the Legend☆
[emoji23][emoji23][emoji23]Ishu za humu sio za kuchukulia serious mkuuAhahaha me nishanyanyua mikono juu bhana......papuchi za bundas liga huwa siziwezi kabisa.
Kazi kwenu sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Ishu za humu sio za kuchukulia serious mkuu
the Legend☆
Unapaka rangi upepo weye..Hahahahaa, afu nimegundua Prisoner of hope ana ligi sana na mimi kuliko Bishop[emoji2][emoji2]
the Legend☆