Simulation games

Simulator gani nzuri ya magari yenye rough roads

Nilikua nacheza euro truck simulator 2 kwenye hp g61 ram 2gb likawa linakubali vzuri sasa nimelidownload kwenye dell 2gb ram linaganda tatizo ni nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nilikua nacheza euro truck simulator 2 kwenye hp g61 ram 2gb likawa linakubali vzuri sasa nimelidownload kwenye dell 2gb ram linaganda tatizo ni nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mostly
Video card itakuwa Ina size tofaut na Ile ya hp ulokuwa nayo kabla

CPU pia inawezekana zikawa tofaut kwa size yan kwaiyo RAM it doesn't matter kufanya zifanye kazi sawa

Pirate

Toshiba Satellite C850-B690 intel DualCore B960 (2.2GHz)/ 2GBRAM /500GB HDD /15.6 inch/With DOS/DVD RW /BT/WiFI

Wakuu kwa hizo sifa HII PC INAWEZAKUCHEZA GAME NZITO KWELI??
MFANO
CALL OF DUTY
GTA V

Toshiba Satellite C850-B690 intel DualCore B960 (2.2GHz)/ 2GBRAM /500GB HDD /15.6 inch/With DOS/DVD RW /BT/WiFI

Wakuu kwa hizo sifa HII PC INAWEZAKUCHEZA GAME NZITO KWELI??
MFANO
CALL OF DUTY
GTA V
gta V huchezi na dual core, call of duty za kizamani utacheza.

430000 mkuu
hio bei pia anakupiga, mkuu tafuta laptop ya 4th gen intel i3/i5/i7 utacheza games zote hizo na bei ni humo humo ulipotaja. cpu za 4th gen zinazoishiwa na m ni kama

i3 4000m
i3 4100m
i5 4200m
i5 4300m
i7 4600m etc

kama hizo za i3 na i5 ndio rahisi kuzipata, cheki sehemu kama kupatana, jumia, olx, magroup ya matangazo fb etc utazipata kirahisi tu.

tangu nime ya jua magame napenda sana magame ya racing na action

gharama za hizo cpu zina endaje na zinapatikana wapi nahitaji zenye graphics kubwa nvidia

gharama za hizo cpu zina endaje na zinapatikana wapi nahitaji zenye graphics kubwa nvidia
hizo ni cpu za laptop, hivyo unanunua laptop unazikuta ndani, bei zake ni around 400,000 mpaka 600,000 hivi used.

hizo zenye graphics za mvidia zipo, ila zenye maana unazipata kuanzia milioni moja, maada si kila yenye nvidia basi ina graphics kubwa zipo nvidia kimeo pia.

Aisee ktk hzo gem mimi napenda sana Euro Truck Simulator 2 dah yaani kama real vile

Poa sana Chief mkwawa

Hello guys nna shda na footabll manager 2017,nimecheza demo ila imenishnda kabisa ku download yote,mwny nayo anicheki 0658 808 378 tufany biashara

Njoo
ucheze hizo games kwenye parlour yangu nna xplane 11,battlefield 1 pia nnayo naona unapenda fps,3000/ hr tu ,ppcorn drinks vyote ndani kwa bei nafuu,

mimi ni simcity

Napenda Euro Truck simulator hasa zile za rough road mwenye hizo mod za rough road naomba
dhaa nakumbuka nilikuwa nalo lote na lilikuwa HD nilikuwa na add mod sana kiasi kwamba hadi komputer ili anza kuzengua. ila nilikuja kulifuta

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…