Simuhitaji tena, ipi dawa yake mwanamke huyu?

Unashindwa nini kumblock mkuu au unapenda hayo mausumbufu yake block kila sehemu
 
Fanya kumchana kama ambavyo laki kunene alivyomchana gf wake kuwa hamtaki tena baada ya kumwekea dhamana polisi kwenye ile kitu ya Jerusalem
 
Mkuu tabia zake chafu mno na sio mara ya kwanza kuchepuka namsamehe tuu

Hata hivyo una moyo wa ajabu sana. Mimi mwanamke akinisaliti basi uhusiano wetu unakufa siku hiyo hiyo, labda ukute na mimi nilikuwa na michepuko nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…