Simuhitaji mwanamke ambaye anahisi ananivumilia

Simuhitaji mwanamke ambaye anahisi ananivumilia

Mi kuna huyu ni mchepuko huwa ananiambia kuwa na mahusiano na wewe ni ngumu mpaka mtu akujue kwelikweli hivihivi hamuwezi toboa ila mimi nakujua lkn bila hvyo sipo hapa siku nyingi #wakuu sindio huruma zenyewe zisizotakiwa hizi?
 
Wakuu,

Sina haja na mwanamke anayehisi ananivumilia, sihitaji kuonewa huruma na mwanamke

Nataka mwanamke ambaye kama sio kunipenda mimi na leo yangu basi awe ameiona potential kwenye kesho yangu

Mwanamke ambaye atahesabu amepata bingo kuwa na mimi, sio mwanamke ntaehitaji kutumia nguvu kumuomba abaki na mimi
Mwanamke anayekupenda kwa dhati,,wala hutakuwa na haja ya kutumia nguvu ya kumfanya akuvumilie. Na huo uvumilivu ndo ile imani aliyonayo kwako kuwa leo hatuna lakini kesho tutapata.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom