Simuhitaji mwanamke ambaye anahisi ananivumilia

Simuhitaji mwanamke ambaye anahisi ananivumilia

Wakuuuu

Sina haja na mwanamke anayehisi ananivumilia, siitaji kuonewa huruma na mwanamke....
Ukitaka mwanake akupende kua mbinafsi tuu na usieleweke, unajipenda tuu wewe mwenyewe mpaka anakuonea wivu

Ukitaka mwanamke akuvumilie wewe mpende na kumdekeza utakuja kuniambia yatakayo kukuta huko mbele
 
nikiwa first year nikajifanya napenda kitoto cha mtu ..Wee. Nyundo niliyokutana nayo ya utosini sina hamu . Mpaka leo hii mzuka na wenge likakata mazima dah.
 
Wakuuuu

Sina haja na mwanamke anayehisi ananivumilia, siitaji kuonewa huruma na mwanamke

Nataka mwanamke ambaye kama sio kunipenda mimi na leo yangu basi awe ameiona potential kwenye kesho yangu

Mwanamke ambaye atahesabu amepata bingo kuwa na mimi, sio mwanamke ntaehitaji kutumia nguvu kumuomba abaki na mimi

Mwanamke pekee asiyeonyesha kukuvumilia ni Mama yako, wengine wote lazima kuna maeneo ya kukuvumilia.
 
Back
Top Bottom