Kweli kabisa ndugu me nilikuwa course for sometimes kaka zangu wakawa wananiomba niende kwao nasema wananiomba coz wifi zangu nahisi wanna tabia za mleta thread so huwa siendi Nyumba Zao without justifiable reasons.Basi hawa mawifi kila mja kwa Nyumba yake wanapenda vitu vya supermarket.so nikifika watoto wanaanza kuomba niwapikie mostly chapati wao wamezoea za Azam au pilau kumbe bwana me nafikiri nasaidia watu roho zinawapasuka na ukizingatia nikipika watoto na baba wote wanasifia nikaja kupata maneno huko mbali lo tangu hapo nikilazimika kwenda nafua shuka nitakayolalia na sahani nitakayolia though I feel sorry for the babies.cjui tuna tatizo gani

Mi nadhan hamjamuelewa huyu dada
I suppose when t comes to keruceee plz don't trust UA eyes
Naona kama intrusion of privacy aisee.
Naanzaje kuingia kwa wenyewe jikoni naanza kupika. Ndio kujionyesha fundi au?
Wakiniomba sawa tena nitafurahia but azawais I keep off.
Worry not sweetheart. At God's own time you will get a fine young woman to be your wife.🙂🙂
cc Eli79, Mndengereko.
Ni nyumbani kwako,sehemu ya utawala wako...jambo halikuridhishi-lirekebishe papo hapo kabla ya kuja kuanzisha uzi huku.
A phenomenal woman rules her home strictly but politely.
*epuka majungu....mapema mno kumuhukumu wifi.
Natafuta mwalimu wa kuoa, niunganishie plse.
Kweli kabisa ndugu me nilikuwa course for sometimes kaka zangu wakawa wananiomba niende kwao nasema wananiomba coz wifi zangu nahisi wanna tabia za mleta thread so huwa siendi Nyumba Zao without justifiable reasons.Basi hawa mawifi kila mja kwa Nyumba yake wanapenda vitu vya supermarket.so nikifika watoto wanaanza kuomba niwapikie mostly chapati wao wamezoea za Azam au pilau kumbe bwana me nafikiri nasaidia watu roho zinawapasuka na ukizingatia nikipika watoto na baba wote wanasifia nikaja kupata maneno huko mbali lo tangu hapo nikilazimika kwenda nafua shuka nitakayolalia na sahani nitakayolia though I feel sorry for the babies.cjui tuna tatizo gani
Kha basi wewe ndio una shida, nilifikiri ana miaka 40 hivi. Unashindwa nini kuongea naye?Nadhani atakua na miaka 20 na kitu hivi. Ni mwalimu wa shule ya msingi hajaolewa bado
huyu mwanamke amejaa hila na ni hasara tupu..........
wifi yake angeingia jikoni angerudi hapa kusema anakiherehere na anataka kumtawala nyumbani kwake.
🙂ameen honey.........
Tuunde uwifi uje unipikie chapati walaaahhhh
(Joking)
una mume jamani?
sipendi vyakula vya supermarket mimi , km hao watoto wa kaka yako.
Daaah binadamu hawana shukrani aisee
Ww unaumri gani?Nadhani atakua na miaka 20 na kitu hivi. Ni mwalimu wa shule ya msingi hajaolewa bado