Simuelewi my X anataka nini!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simuelewi my X anataka nini!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ngongoseke, Jul 24, 2012.

 1. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wadau wa MMU

  Kwa mara ya kwanza naingia jukwaa hili kuomba ushauri juu ya kile kilinikuta;

  Mnamo mwaka mmoja na kitu umepita nilikuwa home tz kwa bahati mbaya au nzuri nikagongana na mrembo flani mitaa ya hapo kati'kwa kweli nilivutiwa nae sana na kwa sababu nilikuwa katika mchakato wakutafuta jiko nikaona si vibaya nikifungua nae ukurasa mpya wa mapenzi,kwa kweli kwa muda mfupi tulizoeana kwa sababu likizo yangu haikuwa ndefu nikaondoka, lakini nilishamueleza dukuduku langu lote kama nahitaji mke.

  Basi kadri siku zinakwenda tuliendelea na mapenzi yetu, Huyu bint hakuwa natabia ya umalaya laa,ila alikuwa Selfish'anapenda afanyiwe kila kitu kizuri yeye. Basi mwaka huu mwezi april nilikuja tena likizo tz ya miezi 2 na kitu,basi kadri nilivyokaa nae huyu ndio nikagundua kuwa kweli Selfish,mbinafsi sana hakupenda mimi nikae na ndugu yeyote kama ingetokea nikamuowa,yeye alitaka tuishi wawili tu,kwakweli hilo lilinishinda ikabidi nimwambie ukweli kuwa sitaweza kuishi nae,nikaamua kuvunja ule uhusiano wote kila mmoja akashika njia yake.

  Sasa hapa swala limejitokeza kama wiki 2 zimepita mimi huku ng'ambo naishi na mtoto wa baba yangu mdogo anafanya kazi,na yule my X anamfahamu hata kipindi niko nae walikuwa wakiwasiliana kwa kuchat,Sasa hapa kuna swala moja limetokea huyu mdogo wangu na huyo my X wanachat sana sana'mpaka saa 8 usiku,yule bint anamtumia mdogo wangu mapicha kibao,hapa nashindwa kufaham nini kinaendelea,ila mdogo wangu nimeshampa warning juu ya huyo bint kwa sababu she was my gf anajua,lakini nahisi hanielewi.

  Khofu yangu nahisi kutokea mgogoro mkubwa kati yangu na mdogo wangu,kwa sababu mimi ndio nilimleta hapa na kazi nikampa nafikiria nimrudishe tu home tz ili wakutane vizuri huko,hebu niishie hapa naombeni ushauri wenu,maana nina mengi yakuandika naona ntawachosha kusoma.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Umrudishe Mdogo wako kisa X wako?
  Kwanza sababu ya kumuacha haikuwa na nguvu sana, wewe ulitaka mkioana muishi na ukoo?

  Pia yaonekana bado unampenda huyo X, kama hayuko moyoni muache hata akiwa na mdogo wako ni dhamira zao si zako. Umesusa waachie wengine wale!
   
 3. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Did u sign out completely or partially? Kama ulimwacha, nini tatizo kwa mdogoako? Kama bado unampenda, unasuasua nn? Make decision once n for all! Kinachotolea kwenye maisha yao kisikuwashe kama ushajitoa!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  We si ulimalizana na kutemana nae? Acha mdogo wako ajaribu bahati yake. Usikute wewe binafsi ndo mwenye mapungufu!
   
 5. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ngoja nikamwambie,mimi ndio nlivunja ule uhusiano,kwa hyo sijutii uamuzi wangu,halafu faham kuwa huyu ni mdogo wangu mimi,nadhani unafaham fika mapenzi,nimekwambia kama nina mengi yakuandika'kwa sababu katika baadhi ya maneno ambayo yule demu anachat na mdogo wangu sana ananiponda mimi,wewe unaweza kuchukua mchumba wa kaka yako aliechana nae?
   
 6. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Paka hiyo sio bahati'kwa sisi wafrica huo si utamaduni wetu kuchukua mwanamke m1 family nzima,na faham kuwa huyu alikuwa ni mchumba wangu'
  Na huyu ni mdogo wangu,
   
 7. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  dah, dogo anataka kugonga mzigo wa brother... inawezekana huyo binti anajaribu kuwa karibu na dogo ili kukuumiza na probably kukuweka under pressure ili umrudie
   
 8. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Yeah Its very hard to endure that, Ila mkuu hapo huna la kufanya.
  Usimrudishe mdogo wako kwa sababu; ulimpeleka ng'ambo kwa makubaliano fulani na kama hajaviolate makubaliano then si haki wewe kuvunja your part of the bargain.
  Tabia za huyo msichana hujaweza kuchukuliana nazo but there are others who can (She is not that much of an alien, right?). Kama mdogo wako ana nia na uwezo basi ana kila sababu ya kujaribu kuwa naye.
  Wadhungu wanasema; 'If you can't defeat them then join then'....Ndugu wasijekutenga kwa kitendo utakachomfanyia ndugu yako
   
 9. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  QUOTE=cartura;4300209]dah, dogo yuko anataka kugonga mzigo.... inawezekana huyo binti anajaribu kuwa karibu na dogo ili kukuumiza na probably kukuweka under pressure ili umrudie[/QUOTE]

  Mkuu yote yanawezekana lakini hata mimi kabla sijavunja uhusiano ule nilishafikiria yote,nilivunja na nikatafuta mchumba ambae nimekwishalipa hata mahari kwao'wakati wwte ntaowa mungu akipenda,sasa nashangaa jambo 1 hawa watu hawajuani zaidi ya sms na kuchat,kweli kuna mapenzi au kuna kitu chatafutwa?
  m
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Mkuu Ngongoseke pole kwa maswahiba!
  Umeeleza wazi sababu ya kuachana na your X ni ubinafsi alionao, nawe ukahofiwa asije kukutenga na nduguzo.
  Kaka hupaswi kumchukia mdogo wako kiasi cha kutaka kumrudisha nyumbani, sababu ikiwa ni mahusiano aliyonayo na your X(kwa jinsi nyingine ni kuwa unakosana na nduguyo sababu ikiwa ni your X).
  Kumbuka dhumuni lako la mwanzo lilikua ni kuepuka kuharibu uhusiano na nduguzo.
  Binafsi ningekushauri umkanye huyo X wako ambaye binafsi ninaamini ndiye aliyeanzisha mahusiano na nduguyo kwa minajili ya kukukomoa au kukutia wivu....girls are so tricky bro!
   
 11. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Nimekupata mkuu lakini faham kuwa huyu bint na mdogo wangu hawajuani kabisa,wala hawajawahi kuonana sehem yyte ile,sasa hapa ndio najiuliza kuna nini kinatafutwa?
   
 12. SWEEPER

  SWEEPER JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  acha wivu we ulishatema mzigo acha dogo atumie
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Yaani huyo mwanamke hafai hata kidogo
  Ana matatizo ...sijui hata nikupe ushauri gani juu ya hili
   
 14. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135


  Nimekupata kamanda vizuri,hilo niliwaza kulifanya mwanzo'ila nikakumbuka akili ya kike atajua kama bado nampenda sana'nikaona nimpe onyo mdogo wangu naona yeye pia hajanielewa,ndio maana nikaomba ushauri kwa ma great thinker,asante sana kwa ushauri,
  Halafu naomba niwawekee wazi ndugu washauri wangu kuwa mimi sio kama bado namuhitaji yule bint laa hapana,nilipoachana nae nikatafuta mchumba ambae ana vigezo ambavyo naamini nlikuwa nataka nikaposa,nikalipa na mahari,kwa hiyo sio kwamba nina wivu na huyo x laa ila nahisi kuna fitna anaitafuta kati yetu,
   
 15. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimekupa mzee nimeacha wivu'
   
 16. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Firstlady shukrani sana dada wangu
   
 17. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Could be wanataka kuwa pamoja...maybe not. But really time is the only thing you can rely on to be sure. Kama wote wako matured then wanajua wanachokifanya...If they are out to get you (Which I doubt kama kuna mtu mwenye muda huo) then wait and see.
   
 18. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  QUOTE=PetCash;4300326]Could be wanataka kuwa pamoja...maybe not. But really time is the only thing you can rely on to be sure. Kama wote wako matured then wanajua wanachokifanya...If they are out to get you (Which I doubt kama kuna mtu mwenye muda huo) then wait and see.[/QUOTE]


  Usisahau kuwa huyu mdogo wangu nimemlea mimi na mpaka sasa namlea na anaishi kwangu,na hata kiumri bint kamzidi dogo wangu ila sijui lengo lake ni kitu gani,
   
 19. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kaka, mpaka hapo unafanya mamuzi kufata moyo wako hutumii hekima,kama wewe umeshamuwacha huyo mwanamke
  na mdogo wako anajua kama huyo alikua mpenzi wako sasa ya nini mpaka mfikishane huko yani uharibu udugu wane kisa mwanamke? tumia busara mdharau huyo mwanamke na shukuru Mungu amekuepushia moto kama huo,na kwa mdogo wako
  yeye pia anajua baya na zuri vile vile ukumbuke dhana mbaya unaweza kua unahisi wanamahusiano wa kimapenzi kumbe
  wala huyo mwanamke anajaribu kutaka attention yako na labda anakujua weakness yako,sasa basi kua na roho yakiume
  na hata kama atamvulia nguo mdogo wako ndio utakua na uhakika kama alikua sie.
   
 20. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Acha wivu wa kike wewe...
  We si ulisusa?
   
Loading...