Simuelewi my X anataka nini!!!!!

Simuelewi my X anataka nini!!!!!

Sasa kama hujui lengo lake nini, inakuhusu nini???!!! Yani umeniharibia asbh yangu, mwanaume mzima unakaa kuchunguzachunguza mdogo wako anachat na nani!!! We vipi? Au bado unampenda?!!!
 
Umeingia na utoto wa hali ya juu! Mwanzo ulivyo anza kutiririka niliona wew ni mtu wa maana kumbe sivyo! Nimegundua bado unampenda huyo x wako.

Wewe ni mtu wa hajabu yan unataka kumrudisha mdogo wako nyumbani kisa uke! Siamini unacho tuambia, nadhani unatania!

Bora umetuonesha tabia yako jinsi unavyo weza kumchinja ndugu yako kwaajili ya mwanamke tena ambaye si mke wako ulimuacha mwenyewe.

Na inaelekea umeshaanza kumnyanyasa kwa kuwa umemtafutia kazi, acha hayo mambo.
 
Chukua tahadhari kaka mwanamke anaweza kufanya kitu chochote ili kulipiza wewe kumwacha, pia ni muhimu kumweka dogo wazi sababu za kumwacha na kumpa ushauri nyie ni ndugu na mambo ya mapenzi huanza taratibu bila matarajio na inawezekana wewe mlishindana lakini wao wakawezana kwa hizo tabia mwisho wakawa pamoja na pia inawezekana anajaribu kuwa na dogo ili aendelee kuwa karibu nawe.
 
QUOTE=Asabaya;4300427]Kaka, mpaka hapo unafanya mamuzi kufata moyo wako hutumii hekima,kama wewe umeshamuwacha huyo mwanamke
na mdogo wako anajua kama huyo alikua mpenzi wako sasa ya nini mpaka mfikishane huko yani uharibu udugu wane kisa mwanamke? tumia busara mdharau huyo mwanamke na shukuru Mungu amekuepushia moto kama huo,na kwa mdogo wako
yeye pia anajua baya na zuri vile vile ukumbuke dhana mbaya unaweza kua unahisi wanamahusiano wa kimapenzi kumbe
wala huyo mwanamke anajaribu kutaka attention yako na labda anakujua weakness yako,sasa basi kua na roho yakiume
na hata kama atamvulia nguo mdogo wako ndio utakua na uhakika kama alikua sie.[/QUOTE]

Pamoja mkuu nimekupata'
 
Chukua tahadhari kaka mwanamke anaweza kufanya kitu chochote ili kulipiza wewe kumwacha, pia ni muhimu kumweka dogo wazi sababu za kumwacha na kumpa ushauri nyie ni ndugu na mambo ya mapenzi huanza taratibu bila matarajio na inawezekana wewe mlishindana lakini wao wakawezana kwa hizo tabia mwisho wakawa pamoja na pia inawezekana anajaribu kuwa na dogo ili aendelee kuwa karibu nawe.

Unajua wengi wanashindwa kunielewa,mimi huyu ni mdogo wangu,na sio kisa nawaonea wivu laa'huyu mwanamke analengo lake na siku akijatimiza atakuwa kishatuvuruga,faham kuwa yeye sio ndg yetu,
 
Sasa kama hujui lengo lake nini, inakuhusu nini???!!! Yani umeniharibia asbh yangu, mwanaume mzima unakaa kuchunguzachunguza mdogo wako anachat na nani!!! We vipi? Au bado unampenda?!!!

Nawaheshimu sana member wenzangu hapa,kwa hyo sio kila thread mtu uchangie nyngne zipotezee tu kama huna ushauri,
 
Unajua wengi wanashindwa kunielewa,mimi huyu ni mdogo wangu,na sio kisa nawaonea wivu laa'huyu mwanamke analengo lake na siku akijatimiza atakuwa kishatuvuruga,faham kuwa yeye sio ndg yetu,

What if wanapendana kiukwelii and they were meant for each other!

Wewe unaonekana mkatili sana, na ungependa X wako akiadhirika na kukubembeleza. Mdogo wako ni mtu mzima, umeshamuwarn inatosha; he knows what he is doing, muache aone ubaya wa huyo mdada. Concentrate on ur brand new love kuliko kupoteza muda kwa X wako.
 
Nawaheshimu sana member wenzangu hapa,kwa hyo sio kila thread mtu uchangie nyngne zipotezee tu kama huna ushauri,

Wee vipi?
Ulitaka ushauri wa kusupportiwa tu, aisee uko low sana!
 
Wivu huwa unakuwa kwa package tofauti tofauti
Hii nayo ni mojawapo.

Ila dogo hana adabu kama atakula ngoma alodondosha kaka yake
Anaweza hata kula mkeo kama hayupo.

Kama umeshampatia kazi basi akapange nyumba yake
Ili wewe usife na MIWIVU bure

Na kuhusu binti, sijamwelewa, labda anatafuta 'comfort' kwa mdogo wako ila hana nia ya 'kumla'
 
Thanks kongosho.lakini kwa life la huku ughaibuni dogo bado hana uwezo wa kupanga,
 
Pole mkuu ushauri wangu usigombane na ndugu kwa sababu ya binti utakuja kujuta.
 
Huyo dogo hajakua.....Kwa tamaduni zetu si vizuri kurukia pale alipoacha ndugu yako (kwa wengine wana mila hiyo hasa mwanaume anapokufa mke anarithiwa)...Lakini pia na wewe usimbane saana subiri uone mwisho wao halafu ndipo utaamua
 
Kwani una uhakika ni wapenzi?inawezekana unavyofikiria wewe sivyo..
 
Mpaka hapo mimi nakuona wewe ndio mbinafsi tena ni hatari sana,

Yani umemuacha kisha dogo anajipigia ndefundefu we roho inakutoka?

Tena ukimrudisha dogo tz kisa huyo demu na mungu atakutandika adhabu ya milele mkuu, wewe kuwa mpole kubali kuwa shemeji tu na mpe moyo dogo afanikishe malengo yake kama wewe ulishindwa!
 
inawezekana x anamtumia mdogo wako kukuumiza kihisia....

lakini shida ya nini?
mapenzi yako kwake si yameisha?

potezea, ulishaacha wewe songa mbele na maisha yako, acha kumfuatilia mdogo wako wala huyo x...

ushampa warning dogo, kusuka au kunyoa ni juu yake......
 
acheni kumlaumu jamani.huyo msichana ni hana heshima.afunuliwe na kaka,halafu afunuliwe na mdogo mtu.kuchati 8 za usiku some times ni sexy chat tu.either ananajaribu kumkomoa kaka mtu mtu kwa ku m use huyo mdogo mtu,au u never know maybe kuna mapenzi.maybe hizo tabia za huyo dada,kwa kuwa mdogo mtu ameshapenda,anazikubali.na wewe kwa kuwa umeshamuonya,muachie,yakimshinda na yeye ataachia ngazi
 
Nawaheshimu sana member wenzangu hapa,kwa hyo sio kila thread mtu uchangie nyngne zipotezee tu kama huna ushauri,

Huo tunaokuambia ndio ukweli sasa kwa taarifa yako. we unafurahia watu wanakusapoti na wivu wako wa kike hapa!!! Be a man...
 
Achana nae so long u know your instincts, follow your decision dat u made b4. Never eat wat u spat y'day........!
 
Back
Top Bottom