Pluto thnker
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 273
- 499
wakuu au mi nd cjaelew mana np nasoma huu uz huku napiga soju! iv wanaume mnalala had ktandan na upo na familia! hiv kwl huy mkuu n mwnzetu kwl?
Na huwa anachukuliwa kutoka sehemu moja na kwenda mbali kusaidia kazi mwanaume mwingine na kumuacha mkewe na watoto.wakuu au mi nd cjaelew mana np nasoma huu uz huku napiga soju! iv wanaume mnalala had ktandan na upo na familia! hiv kwl huy mkuu n mwnzetu kwl?
Swali zuri ingawa linaweza kuwa na unafiki ndani yake!Hivi ili ufanikiwe inabidi usilale eti?
Huyu yupo kazini hapa kutafuta watejaUtakuja kustuka umeshaliwa kimasihara huku una type JF
Hata mimi nimestuka aiseeHuyu yupo kazini hapa kutafuta wateja
Hukuwa na haja ya kunijibu Maana naona nawe umenijibu unafki tu mkuulinaweza kuwa na unafiki ndani yake!
itakuwa kutandika kitanda 🤣Unaendaga kumsaidia nini mpaka mnakua kitandani
🤣🤣🤣🤣🤣 kwakweli.Sijaelewa na sitaki kuelewa
😁😁😁Hukuwa na haja ya kunijibu Maana naona nawe umenijibu unafki tu mkuu
aisee noma sn mkuuNa huwa anachukuliwa kutoka sehemu moja na kwenda mbali kusaidia kazi mwanaume mwingine na kumuacha mkewe na watoto.