Simuelewi mpenzi wangu

Simuelewi mpenzi wangu

Hahaaaaa ety wanaweka picha za mabwana zao kichwani
tangia.. But waambieni tu wake kwangu Shombe la Kisomali hayo madevu/masharubu/matimbalendi
ninayo kama yote
Huyo demu ana dharau balaa pia hakupendi kindakindaki.
Kipindi niko chuo manzi wangu aliniambia anapenda mwanaume awe na zile ndevu za mashavuni (wakati huo hata za kidevu nilikua sina), nikamwambia achana na mimi katafute mwenye hizo ndevu!!!!
Muda ukapita kaona picha zangu akanitafuta ooh samahani sijui nini nikaweka status mtoto mkali ili aangalie aachane na mimi, cha ajabu mpaka leo hakomi aisee.
Kiufupi wanawake wanakuaga washaweka picha za mabwana zao kichwani, Achana nae huyo!!
 
Kwangu, hata kama angemsifia mtu aliye kwenye TV kwa style hiyo; ingetosha kumtimua kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yesuuu hata kwenye TV? Sasa navyomsifia Gaucho, willium levy, bila kuwasahau wakaka wa kikorea na miili yao ya suti zinavyowakaaga bomna kwahiyo angekuwa ushanitimua😁😁😁😁
 
Si ndo ataniona nyanya

Sent using Jamii Forums mobile app

ntafute doctor akupunguze masikio mzee baba

1550521755209.png
 
Nina mpenzi wangu ninampenda lakini ananitia waswasi sana anatabia ya kusifia sana rafiki zangu hasa ambae nafanya nae kazi kada moja ya uhasibu yeye binti ni mwalimu sasa jamaa yangu anaasili ya ndevu nyingi japo hata mimi ninazo lakini mara nyingi anamuulizia hovyo sijui ana girlfriend?

Ohhh anao magirlfriend wangapi? ohh ana ndevu nzuri yule kaka yaaaani ni shida tupu mpaka nachukia naamua ninyamaze labda atajisahihisha inafikia hatua natamani nimwache aendelee na ishu zake ila najipa moyo labda atabadilika ni ujana tu je, Wana JF hili ni sahihi au ni wivu wangu tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
si umwambie mwanamke wako hupendezwi na hiyo tabia ili aiache sa unakuja kujilalamisha humu si kupoteza muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom