Unasubiri Nini Kumwambia Ukweli... Tunza Simba Mdogo Ndani Akikua Atakula Nyama wewe mwenyewe
[/URL]
Hanijui kama mm mwenyew ni pasua sema heshima tuMzee baba akili za kuambiwa changanya na zako, kwangu mimi naona ni dharau sana aisee demu wangu anaanza kumsifia mshikaji wangu ipo siku utasikia wamekutanisha vikojoleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifuga na wewe ndevu usitegemee mapokeo yatakua the same kutoka kwa mchumba wako, cha nsingi punguza wivu be normal fanya vile vitu yeye aliivipenda kwako muda mlipokutana
Na uzi juu.Sasa mkuu kama unalijua hilo why likupe stress?
Karibu mkuu, anytime mkuu.
Nilimwambia unampenda yule broo akanyamaza nikamuuliza tena nikiwa namuuliza kila wakat rafiki yako ambae unahic ananinyima usingizi utajisikiaj akaishia kucheka mpaka leo sina jibu lililojibiwaMkuu umewahi kumwambia? Pengine mpenzi wako yuko huru sana kwako kiasi kwamba anaweza kukwambia chochote kama besti yake. Jaribu kumuelewesha tu
Mawasiliano muhimu katika mapenzi. kama uliwahi kumwambia lakini akarudia tena basi hiyo ni ishu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro kimbia kama kwenye riadha, hamna upendo hapo. Ukiona mwanamke anamsifia mwanaume mwingine na ww upo nae jua kashamtaman au wanafanya yao kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jifanye mwehu tu urudi hapa unalialia. Dharau gani hizo anakuletea binti halafu unaongelea mambo ya busara hapa
Amwambie nini mzee baba?? Unapoingia kwenye relation unaingia na mtu ambae unaamini anaweza pambanua mambo, basi hata hilo ni la kumwambia demu?? Acheni hizoMkuu umewahi kumwambia? Pengine mpenzi wako yuko huru sana kwako kiasi kwamba anaweza kukwambia chochote kama besti yake. Jaribu kumuelewesha tu
Mawasiliano muhimu katika mapenzi. kama uliwahi kumwambia lakini akarudia tena basi hiyo ni ishu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe kaa utafute ushauri wakati demu anakuletea dharau za hali ya juu. Unamuuliza unampenda yule jamaa na anakaa kimya na wewe unamuangalia tu??? Ama kweli wanaume tumebaki wachache sanaNilimwambia unampenda yule broo akanyamaza nikamuuliza tena nikiwa namuuliza kila wakat rafiki yako ambae unahic ananinyima usingizi utajisikiaj akaishia kucheka mpaka leo sina jibu lililojibiwa
Sent using Jamii Forums mobile app