Nitumie namba yake najua dawa ya kumfanya asikusumbue tena jembeHabari wana JF
Hope ni wazima, kuna demu mmoja ambae nilidumu nae kama miezi 8 hivi. Baadae tukaachana kwasababu nilipata mchepuko halafu akaja kugundua ikabidi tuachane sasa cha ajabu ni kwamba uyu Ex yaani hawezi kunisahau kabisa yaani, ile siku tunaachana alitishia mpaka kujiua lakini nikamtukana sana.
Baada kama ya miezi kadhaa akawa anantafta sisi akitanfta na mimi nashindwa uvumilivu tunaruduana lakini hatukai sana namzngua tena tunaachana.
Yaani inshort nimemfanyia vingi vibayaaa lakini hawezi kunisahau yaani anakaa kimya baada ya muda anantafuta tena turudiane wakati anajua mimi nina mtu.
Sielewi ata nlifanya nini cha ajabu cha kumfanya mpaka anipende hivi. Maana uko nyuma aliwahi kua na watu wengine na bado wanamsumbua tu lakini yeye kaganda kwangu.
Eti nini kinapelekea situation kama hii
Unataka kumuoa?Habari wana JF

Mtenda hutendwa.... Itakuja kula kwako siku mojaHabari wana JF

Nasikia TP mazembe wanataka kumsajili Moze iyobo
Hvi game ya man u na newcastle ni saa ngapi?
Wamchangani na wakimataifa wote dugu moja

nani kachukua uchezaji bora wa dunia?
wa mchangani wameshafukuza kocha etiNasikia brazili imefanana na yanga