huyo muddy anasifiwa kwamba anamkoleza wakati tuki s*x. Mi nadhani ni mpenzi wake.Hujaeleza vizuri mkuu. Kwani huyo Muddy anayetajwa ni mwanaume tu mwingine au labda kaka yake au ni ex wake. Kama ni ex je wana mawasiliano bado?Kuna dalili zozote kuwa wanaweza kukumbushia?
Angeweweseka akiwa usingizini sawa, lakini anamsifia kimahaba tukiwa kwenye majambos.Asee ngumu kumeza chungu kutema maybe humkolezi kisawasawa au maybe anatoka na.x wake.huyo mudi maybe ni kuweweseka tu yote yanawezakana japo sio hundred percent hebu muulize kuna nini mana haiwezekani muwe 6*6 ataje mtu mwingine ipo namna
Hata ingekua mimi amtaje amina.wakat nipo mimi asha kusingekua na maelewano.ndani ya nyumba.
Naitwa Bonny Mokiwa (Bombom). Nina mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye nategemea kufunga ndoa naye hivi karibuni. Utata uliojitokeza na kupelekea kutengua uamuzi wangu wa kufunga ndoa ni kwamba, kwa mara tatu katika nyakati tofauti, tulipokuwa kwenye sita kwa sita (ingawaje hairuhusiwi kwa wachumba) akizidiwa kumahaba anaweweseka na kumtaja mtu mwingine anayeitwa Muddy badala ya kunisifu mimi. Suala hili lilileta mtafaruku hadi likasuluhishwa na mshenga. Tatizo ni kwamba amerudia tena kutaja hilo jina. Nimeamua kumtosa, ingawa harusi imepangwa mwezi ujao. Sijui kama nimefanya uamuzi mbaya.
huyo muddy anasifiwa kwamba anamkoleza wakati tuki s*x. Mi nadhani ni mpenzi wake.
uamuzi sahihi sana na hakikisha na yeye analijua hilo kuwa ndo limeleta shida asijekukusingizia mambo ya ajabuNimesitisha harusi Mkuu. Nashukuru suala hili limejitokeza mapema.
Genta.... kama ulikuwepo Poti..Sasa Hapo Tukusaidie Nini Wakati ULOFA Unao Mwenyewe? Mwachie Tu Muddy Aendelee KUGEGEDA. au Mwenzetu Muhogo a.k.a KIGEGEDIO Chako Ni Mithili Ya Njiti Ya Kiberiti? Siku Nyingine Ukikutana Na Demu Kama Huyo Halafu Mko Nae ktk Mamboz Na Anamtaja MGEGEDAJI Mwenzako Wala Usipate Taabu Mkomoe Na Mle 0713....Na Atakoma! ILA Amekudharau Mno Poti...............Pole Sana Na Angalia Tu Usije Kutana Na Mwingine Nae Akawa Ananitaja Mimi Tu Genta....Genta.....Genta.............Uwiiiiiiiiiii................Yalaaaaaaaaaah Gentamycine Asaaaaaaaanteee....Ni Tamu Genta!
Angeweweseka akiwa usingizini sawa, lakini anamsifia kimahaba tukiwa kwenye majambos.