Simuelewi mpenzi wangu hata kidogo

buchilo

Member
Jul 30, 2018
82
69
Amani iwe kwenu wakuu.

Mpenzi wangu kwanza kabisa hataki tule chakula cha usiku taa ikiwa inawaka. Baada ya kuona hivo niliweka taa ya rangi lakini nayo huwa lazima izimwe.

Bafuni huwa tunaoga wote siku zote!

Ni mwanamke asiyekubali kuingizwa kidole hata nimuandae vipi. Nikitaka kumega asubuhi ya weekend huwa lazima aseme subiri niende kukojoa. Sasa cjui tatizo nini.
 
Anaenda kukojoa kwa ajili ya kujiswafi!
Hapendi kutiwa kidole labda aliwahi kuumizwa ma kidole
Hapendi taa labda hapati stimu na taa!
Muelewe tu.
Kama mnaoga wote mchungulie uone anachoficha!
 
Wewe unataka uingize kidole utoe nini huko? Je unataka kuvuna asali?ingiza kidole kikuu inatosha ala!!
 
Ongea nae kwa upole; kwa nini hataki kuingizwa kidole, kwa nini kila kabla ya mechi lazima akakojoe, kwa nini hataki kula chakula cha usiku taa ikiwa inawaka je, anataka kukukaba?
 
Pole sana mkuu.

Kuzima taa chakula usiku wakati wakula tuu?????

Hataki kidole ?? Sawa hili sio inshu.

Kila asubuh unavyomkula lazima kwanza aende bafuni????



Embu tuanze nahili....mnakuaga pamoja siku za weekend tu??? Na masaa yote 24.
 
Bila shaka bibie atakua mchafu, mwanamke msafi aogopi, haoni aibu na hujiamini. Haendi kukojoa uyo, anaenda kusafisha...
 
Mkuu j mosi nikimalizà kunywa chai naondoka mida ya nne.yeye anabaki hom
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom