miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kama unaomba alafu unakuja kuruka ruka kama chura tusilalamike loh!!!!!!!!!! ukiomba jiandae na uwe umejipanga jamanBaada ya kugundua nyie ndio mnafaidi sana... nimejikomboa aisee... SIOMBI TEENA BASI!!!!... kaeni nazo.
Afu mbona wakuomba wengine afu walalamishi wa kutofikishwa ni wengine? kwani mmetuona sisi waombaji tukilalamika... Tutacheni tulaleeee....!!!
mkuu ukireserve comment halafu na sisi tukareseve zetu hali itakuwaje humu ndani?
wee unakosea...hao wala hunashida ya kutongoza unatengeneza mazingira mwenyewe anakupa papuchi
Laki mbili kisa kipapuna ambacho ladha yake ni ileile??? Bora nipite mnadani nikajichagulie sidhani hata kama itafika 30,000/=
itakuwa mesage reserved see me on PM........
Hivi hela yako isipoliwa na mwanamke hujiskii vibaya jaman????
^^
Ohoooo!! miss chagga na Excel, wanasema mwanamke akikupenda hakuombi pesa, anachofanya anakusanya laki mbili hiyo anamgawia kidogo ampendae, unamnunulia laptop anampelekea ampendae.. Kifupi unageuzwa ka B.O.T kadogo ka kumaliza shida zake, kupewa hupewi unabaki kupangiwa tarehe kama kesi za mahakamani.
That game, is what I hate.
^^
mpe hela ya matumizi kama laki mbili uoe kama atakataa.... fanya hivi funga kwenye baasha ya kaki wakati unamwaga mpe alafu tulia tu kimya,....
hahha....Akaaa!!! Mkuu kwani huwezi kumpa laki2 unaempenda? wallah umenichekesha sana umenikumbusha Tanga mjini..
kama unaomba alafu unakuja kuruka ruka kama chura tusilalamike loh!!!!!!!!!! ukiomba jiandae na uwe umejipanga jaman
Hahahaaaaa... Mtuache Tulale!!!
dada chaga iyo kali
Aile vinginevyo ila sio kwa ajili ya Papuchi aisee.... najisikia vibaya kutoa hela kwa jina la hio kitu.
Nimewahi tena sana kugharamika ila katika jina la urafiki wetu na katika jina la kuwa Mimi ni mwanaume nahitaji kuchukua majukumu fulani na fulani kama mwanaume. ila kutoa hela ili nipate hio .... sitoi kabisa kabisa na wala sitaitaka... sijui kama point yangu inaonekana lakini.
alafu huku unamwambia ya maji ya kunywa hiyo