Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,378
aya namsubiria ila aisee hii policy ya pesa ndo nzuri
mmmmh inatoka moyoni hiyo? ile kitu tamu sana
Kwanza nyie ndio mnafaidigi zaidi afu mnajidai kutuwekea EFDs za TRA... mshindwe na kulegea
^^
Ha ha haaa let me reserve my comment
^^
mkuu ukireserve comment halafu na sisi tukareseve zetu hali itakuwaje humu ndani?^^
Ha ha haaa let me reserve my comment
^^
mimi siiamini!
bazazi makini ni yule aliye serious kila wakati! yule anaongea systematic! mbona mtakaa mwaka huu!
anaunga na hii...........Jaman tony touch buubu say yes
mie mpaka sasa hivi nimeingiza sana mwaka gani unaongelea labda wa uchaguzi?
ha ha ha nani kasema? wakati nyie ndo mnapenda kuomba huo mchezo
Laki mbili kisa kipapuna ambacho ladha yake ni ileile??? Bora nipite mnadani nikajichagulie sidhani hata kama itafika 30,000/=LAKI mbili hivi hivi naiona....... labda isiwe ya jasho langu.
we si unachukua vitoto vya seko na vizee kama Asprin!
hujaja kwetu wazee wa policy making and miser considerations in the air way control of money in the centrifugal core!
Hahahaaaa..... mlivyo na maneno nyie... hela itatoka tu... ntajichukiaje baadae lakini!!!!!
hahha....Akaaa!!! Mkuu kwani huwezi kumpa laki2 unaempenda? wallah umenichekesha sana umenikumbusha Tanga mjini..LAKI mbili hivi hivi naiona....... labda isiwe ya jasho langu.