gx_nation
Member
- Dec 3, 2022
- 32
- 56
- Thread starter
- #21
Asante mkuu na hapo kunisaidia nikikwama, kuhakikisha ibada tunaenda wote pananichanganyaEndelea na mambo yako,mpotezee huyo,kukataa zinaa kabla ya ndoa nasimama nae ila kukupiga kalenda ghafla bila kukwambia ndoto yake ni nini hasa,ina maanisha hakuhitaji tena ila anashindwa tu kukwambia direct,jiongeze,
Kama mmeanza hivyo na hamjaoana,je mkioana itakuaje? Sioni dalili nzuri ya maelewano kwenye future ya maisha yenu huko mbeleni,
Live the life u love,love the life u live,life is very short.
Good luck.