Simuelewi huyu kaka

heineken ni jina lako au?ahaaa hahaa sijaelewa mimi..hahahha kazi kwelikweli vijana wa mjini mna mambo sana
 
Una bahati hajakuvua c*u*i yani ndio angekusave 'mlupo'. jipange upya binti
 
take your time gal ,hakupendi ila wewe ndio unampenda, yeye alikuwa anataka kuongeza idadi ya wanawake aliolala nao ful stop. :hand:
 
mambo mengine hata hayahitaji ushauri!!! unaweza ukasolve mwenyewe!!
 
Kwel we heineken maana mpaka hapo bado hujui Kama upendwi??
 
Ujaolewa unachokonoa simuzawatu ukiolewa me?? Behave bana!!!only !Mr&Mrs can touch@other phone!!sofar Ghana 2;gbosau 0
 
heineken ni jina lako au?ahaaa hahaa sijaelewa mimi..hahahha kazi kwelikweli vijana wa mjini mna mambo sana
hahahahaahaha nimecheka kaseviwa kwa jina la heineken si bora ashukuru ..angekuta chibuku je?
 

Angalia hili andiko lisitimie kwako; "wana macho lkn hawaoni, wana masikio lkn hawasikii,...kwa kuwa ni watu wenye shingo ngumu".
 
shule wengi imewapita kushoto kwa hiyo kusoma ni taaaabu kwl kwl, lakini hata picha??Yaani huyo msela anakuona kama changudoa, esx how much full stop.Ukweli unauma lakini huu ndio ukweli wenyewe
 
Huyo kiumbe achana nae. Usije ukajichanganya ukakaa mguu pande kwa sababu itakula kwako. Usimpe utamu hata kido kwanza mwenzako hakuthamini na ndio sababu kakusave jina la kinywaji. Au unamtia hasara sana kwa kunywa heinken nyingi? Jitafakari kwanza. ILA NASISITIZA USIJE UKAJICHANGANYA UKAWEKA MGUU PANDE, AKILI KWA KICHWA
 
Nimependa jina uliloseviwa.Ila hapo hakuna mapenzi fanya haraka ujitoe kwenye huo msururu
 
Ungekuta amekusave muuza majeneza ungezimia au ungekufa
 
Bora amekusave heinkein,kakupa chati,mwenzio kamsave'kiroba orijino'
 

yaani kama vile umenisema mimi, ndo nilivyo kama sina mpango na huyo demu.
 
We naona unasubiri mwaka wa pancha ili upachikwe wewe kimbia ka mwiz sokoni huyo hakufai
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…