Simuelewi huyu kaka

Njoo nitakupa dawa yake hutaenda kwake teena!

we dawa huna..........mi si nakujua wewe huna dawa acha chumbua toto ya mutu muache aende kupata ile kitu wakongoman inatoaga
watu ya mutu inajua shunguli ya ......
 
pole kwa kula gengeni........teh teh isujekuwa wewe ni vodaFaster

Mhh tena Restaurant ndio hata huitaji kuuliza Jina sababu jina lipo kwenye TAG alafu ukiwa mteja wa kila siku yaani ukifika tu unakaribishwa kwa ukarimu... Sasa kama hii ya mwenzetu miezi sita bado mtu hajui kina lako Kweli hapo kuna matatizo makubwa saaana yaani ingebidi ampige chini siku ya pili tu
 
Achana nae huyo hakupendi wala hakuna mapenzi hapo,mbona inajionesha kabisa?
 
mnh kweli mwenzetu za kuambiwa,huchanganyi na zako! mbona mambo yako waaazi....he is not into you....:A S 13:
 
interesting http://2.s07.jamiiforums.com/count/DymW/bg=ffffff/txt=ffffff/border=ffffff/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=0/
http://s07.jamiiforums.com/count/DymW/bg=ffffff/txt=ffffff/border=ffffff/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=0/

unajifunza kuposti nini?lol
 
kakusave 'heineken'? Loh inaleta hasira sana! Huyo gumegume, wachana nae!
 
It does not need a Phd holder to discover the best solution...quit! The earlier the better
 

dada huyo hajakupenda bali amependezwa nawe.
 

Duuuu hebu achana na hiyo crap!!!
Halafu huyo mzuri manake amekuja kama alivyo.
Wengine wanakuja na ngozi ya mtoto wa kondoo kumbe mbwa mwitu dume!! Stuka dada angu!!

Mume mwema yupo tuuuuuuu, wakati ukifika kila kitu kinakaa sawa!! God loves you!!!
 

Hii ya kutaka kuonana nawe wakati wa giza tu haijakaa sawa hata kidogo.

Say It Right - Nelly Furtado | Music Video | VEVO



 

Nutin' 4 gud.... unasubiri dalili gani nyingine kubwa zaidi ya hizo ulizoziona ili ujue hapo hakuna dili????? Mpaka uchakachuliwe???!!! Wake up dada!!!!!... kula kona haraka!!!!...
 
kakusave 'heineken'? Loh inaleta hasira sana! Huyo gumegume, wachana nae!

Yawezekana Nothing4good anakunywa Heineken au unavaaga Mabango ya Bia husika!!! Lol!... Maana wanaume wa style ya Sharobaro hawapendi wanawake wanaokunywa Savannah,Amarula etc
 


Yeye ndo hakuelewi wewe, sababu umemng'ang'ania kaka wa watu ndo mana anakususa hata wiki nzima bila mawasiliano,akikutafuna ndo kabisa kula kona huna chako hapo.
yeye mwenyewe anakushangaa alikuwa anakujaribu tu we unamkomalia dizaini. Mbona haiitaji kwenda shule wala ushauri hiyooo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…