Simuelewi huyu demu

Simuelewi huyu demu

Wewe umekuwa cheap sana kwa mwanamke. Unajua kwenye mgahawa anakutana na wangapi.

Unatongoza demu kwa gia ya kumuoa!!! Tumia njia tofauti. Mtumie sma nzuri nzuri. Usimkumbushe hilo tena.
 
Wewe umekuwa cheap sana kwa mwanamke. Unajua kwenye mgahawa anakutana na wangapi.

Unatongoza demu kwa gia ya kumuoa!!! Tumia njia tofauti. Mtumie sma nzuri nzuri. Usimkumbushe hilo tena.

nitajaribu kuutumia ushauri wako mkuu maana naamimini hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Ila mkuu dem bora hapatikani kirahisi. Ukiona watu wana wake wazuri jua walitoil sana kuwashawishi. Ukiona unamtokea dem leo anakukubalia kesho huyo sio...

kweli mkuu nimekusoma
 
tukupe ushauri jinsi gani simu iludi au namna ya kumtongoza kwa maneno na sio kwa kumpatia simu, pole sana simu imekwenda hata hujachungulia.!
 
hahaha leo nimejitahidi sijaenda kula mgahawani kwao maana ili niingie geto kwangu njia ya kupita ni lazima nipite mgahawani kwao hamna short kati nyingine
siku nyingine upite na demu sasa, ili ajue kua msichana hayupo pekeake.....
 
unatongoza kitoto e? anapokeaje simu afu akunyime mzigo? ukiona hataki umuoe kula hata mzigo kupunguza machungu ya tecno yako ya sh 15000/=
 
Don't tell me you want to give up that easly! Real men go after what they want until they make it!
 
Back
Top Bottom