Simuelewi huyu demu

we ushamwita demu atakupenda kweli, au unaweweseka ukiwa naye
 

Hivi kuandika bila kuweka koma, vituo wala paragraph ni janga la kitaifa eehe? Naona linaongezeka siku hadi siku!
 
Hapa ndipo umri unavyoleta shida. Hivi mwanaume kuulizwa demu wako hajambo akajibu ndiyo ina maana ameshamega. Hili ni kawaida kwa vijana kupandia migongo ya akinadada ambao ni warembo. Chunguza sana inaweza kuwa ni magrini yake. Hivi unafikiri kama unampenda asijulikane hata kwa majirani wa nyumbani kwao?
Kuhusu namba na mawasiliano, chunguza katika simu yako saa hizi, hakuna namba ya simu ya msichana yeyote? Je, SMS huna za vodosho ambao sio unaowagegenda? Mwanaume usikute huo ni mtego kuna rafiki yako anamtaka na anaona njia ya kumpata ni kukuzuga! Ila shule kwanza
 
Ashakutema sema we hujaelewa tu!na reason ni kwamba huna hela au we si kipanga.
 

Kwanza pole jamaa yangu; Kiufupi chuo hakuna mapenzi ya dhati(true love) kwan most of them wanaigiza mapenzi yan (mapenzi ya tamthilia)
Ushauli wangu we mpotezee na akikuletea kopa we kula then take your tyme .
 
kupenda ucko pendwa ni sawa na kusubiria meli airport mzee achana nae find the one wh loves u,that`s all
 

Huyo demu hakupendi ila anakujibu ki ustaarabu kuwa subiri usihangaike naye utaumia bure
 
Mtajinyonga sana! Na bado!!uchanganye MAPENZI,MASOMO,UMASKINI!! Jibu unalopata ni kakitanzii!! Amukeni kama hupendwi!! Tulizana!! kubali matokeo!!,
 
Kwa nini unatumia herufi kubwa kuandikia thread? Haipendezi na inanikera sana kusoma. Wataalamu wa maandishi wanasema: Using upper-case characters in writing is tantamount to shouting!
So please dont shout!
 
mtajinyonga sana! Na bado!!uchanganye mapenzi,masomo,umaskini!! Jibu unalopata ni kakitanzii!! Amukeni kama hupendwi!! Tulizana!! Kubali matokeo!!,

ha ha ha ha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…