HAPA HAKUNA CHA KUSEMA AZID KUSOMA AACHANA NA HUYO DEM JAMAA UMRI ALIONAO NI UONGO!!naungana na mkuyati,kwamba mwombe mtoke out alafu huko usifanye kosa kama akigoma hata kubaka baka atatia heshma tu!!m mwenyewe kwa shemej yako huku chuo x ilikuwa hvo hvo mpaka saiv ninae anayemtokea anampa makavu!
Duh upo siriaz kweli wewe kijana?
namwambia nampenda nataka awe sweetie wangu
hivo tu???
mpigamsuli you are not serious kwakweli, hata mi nakuzidi kutongoza!!!!!!!
Hizo ndio swagger za mademu wa chuo ukimfuata kistaarabu na kumuonyesha kama unataka kuwa na future naye ndo unakuwa kama unajionyesha lyf la chuo hulijui(but sio wote wapo wastaarabu) wanakuona bonge la ---- kumbe wewe umependa kweli na hutanii mimi nilipokuwa chuo niliexperience such a thng cha kukushauri ni kwamba usimuwaze tena mdelete hadi kwenye recycle bin na dont give a ---- about her wait until u get ur own lover who would care 4 u sio huyo bitch you heard:A S wink:WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
yani hats msuli sipig sababu yake nimefeli test huyu demu akiwa na shida ndo ananikumbuka namuazimia mpaka vitabu library kwa kutumia kitambulisho changu coz yeye kapoteza cha kwake dah
yani hats msuli sipig sababu yake nimefeli test huyu demu akiwa na shida ndo ananikumbuka namuazimia mpaka vitabu library kwa kutumia kitambulisho changu coz yeye kapoteza cha kwake dah
Wewe sasa unakoelekea hakufai kabisaaaaaaaa ndio maana wenzio wanakuita zoba kwa sababu hizi hizi. Fanya ulichofuata chuo na kama utaendelea na huo mchezo wa kufeli ndio utalizwa hadi basi. Soma na make sure unafaulu kwa marks za juu ie hasira zako peleka kwenye kitabu soma kama umetumwa na mkoa vileyani hats msuli sipig sababu yake nimefeli test huyu demu akiwa na shida ndo ananikumbuka namuazimia mpaka vitabu library kwa kutumia kitambulisho changu coz yeye kapoteza cha kwake dah
mmmh bibie unataka nifanyeje mimi namtupa kulee