Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
Hakutaki huyo ndugu...anakuonea huruma tu kukukatalia...achana naeWANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
hapo hakuna cha kusubiri tena, tafuta kupenda utakapopendwa.
wewe ni zoba.
Huyo sio riziki yako, sio kila unaowapenda wanaishia kuwa wapenzi wako, ni mmoja tu ndio utampata wa ukweli.WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
fuata kilichokupeleka chuo hayo mapenzi yapo tu
huyo sio riziki yako, sio kila unaowapenda wanaishia kuwa wapenzi wako, ni mmoja tu ndio utampata wa ukweli.
Kama unahisi anakupenda hebu jaribi kumchunia kama wiki moja hivi uangalie atakwambia nini, ukiona kimya jua hamna kitu. Anza kwa kumtoa moyoni mwako taratiibu, wewe piga shule kwanza. Someni vijana mtakuja kupendwa hadi mtawakimbia wenyewe..!!
Asikudanganye mtu..anagegedwa na mtu mwengine ww upo tu u dont even know where ur standing..utakuja kuletewa magonjwa sijui utaenda kumlilia nani kha hebu zinduka ww naona bado umelala....lakini ananiambia ananipenda na hata nimewahi kulala nae ila alikataaa kabisa kufanya mapenzi na mimi