Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
au unanikazia fuvu tu my dear ExMhhhh haya sawa

I don't have ex's, I have examples of wat not to do again.au unanikazia fuvu tu my dear Ex
Alikua na mtu anamdanganya, ulimvyomdelete na jamaa kamzingua anataka kurudiHope mko salama,
Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa, mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc.
Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi, visa vya ajabu ajabu, mara unaongea naye kwenye simu kidogo anakwambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa, na status anapost na yuko online.
Ukimuuliza nini shida, anasema hakuna shida! Yaani akawa kama yupo tuu, alikua ananiita bby, mara akaanza kuniita ndugu yangu, mara boss etc.
Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on, maana niliona kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.
Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nini, nikawa sijibu, akipiga sipokei.
Sasa kilichonileta hapa ni hiki, kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hivyo hivyo, ana siku karibu tisa anafanya hivyo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki.
Kuna upendo hapa wadau?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Katakuwa ni kaskinny girl halafu maji ya kunde ingawa maji ya kunde yenyewe ni kijani.
Hope mko salama,
Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa, mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc.
Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi, visa vya ajabu ajabu, mara unaongea naye kwenye simu kidogo anakwambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa, na status anapost na yuko online.
Ukimuuliza nini shida, anasema hakuna shida! Yaani akawa kama yupo tuu, alikua ananiita bby, mara akaanza kuniita ndugu yangu, mara boss etc.
Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on, maana niliona kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.
Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nini, nikawa sijibu, akipiga sipokei.
Sasa kilichonileta hapa ni hiki, kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hivyo hivyo, ana siku karibu tisa anafanya hivyo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki.
Kuna upendo hapa
Wewe ni boss wake unataka upendo wa nini?mara boss
Wote me naona mna akili za kitoto.
Watu wazima uzungumza na kufikia muafaka na kila mtu kujua nafasi yake
huu ukweli ndo huuma watuAnataka asikupoteze wewe na kule alipo pia asipapoteze. Hivyo anataka kudhibiti au kushikilia sehemu mbili kwa wakati mmoja lakini sehemu ile ya kule inaonekana ina nguvu kushinda ya kwako.
Mmeanza kuchokana mmezoeana Sana. Chamsingi inakubidi umuoe muendelee na maishaHope mko salama,
Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa, mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc.
Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi, visa vya ajabu ajabu, mara unaongea naye kwenye simu kidogo anakwambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa, na status anapost na yuko online.
Ukimuuliza nini shida, anasema hakuna shida! Yaani akawa kama yupo tuu, alikua ananiita bby, mara akaanza kuniita ndugu yangu, mara boss etc.
Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on, maana niliona kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.
Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nini, nikawa sijibu, akipiga sipokei.
Sasa kilichonileta hapa ni hiki, kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hivyo hivyo, ana siku karibu tisa anafanya hivyo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki.
Kuna upendo hapa wadau?
Hope mko salama,
Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa, mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc.
Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi, visa vya ajabu ajabu, mara unaongea naye kwenye simu kidogo anakwambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa, na status anapost na yuko online.
Ukimuuliza nini shida, anasema hakuna shida! Yaani akawa kama yupo tuu, alikua ananiita bby, mara akaanza kuniita ndugu yangu, mara boss etc.
Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on, maana niliona kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.
Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nini, nikawa sijibu, akipiga sipokei.
Sasa kilichonileta hapa ni hiki, kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hivyo hivyo, ana siku karibu tisa anafanya hivyo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki.
Kuna upendo hapa wadau?
Jamaa naona amejisahaulisha kabisa kuhusu hela. Hajui hizo baby, honey zinalipiwaMpe hela, inaonekana umepunguza matumizi
Sio lazima mzungumze,mtu akiku ghost mwambie Rest In Peace then potea zako,atajua mwenyewe