Simuelew anapenda mwili au mimi!!!

Jamaa atakuwa ana-mind figure. Ila halipi huyo kuwa nae chuga.
 
Mdanganye kuwa kuna kaka anakusumbuaga mara kwa mara then uone reaction yake!
 
Sijui my dear baby sis. Ila siku akiniona mie na hizi kg 100 atakuja kukunywesha mafuta ya kitimoto ili uwe kama mimi.
Unajua kukimbia?
mi nafikir hajui huyu!lol!
na hizi nyama za mbuzi za kuzifata alafajiri alfajir vingunguti si tunekuwa tushaaachwa miaka alf 300 iliyppita lol!
 
Sijui my dear baby sis. Ila siku akiniona mie na hizi kg 100 atakuja kukunywesha mafuta ya kitimoto ili uwe kama mimi.
Unajua kukimbia?

Hahaha xenks u made my day
 

wanawake tuna kazi daaa. Kwann asingetongoza mwembamba km anataka mke potable? So ukishazaa ukinenepa tena si atakukimbia sasa? Mapenzi hayaangalii mwili bwana. Hajakua huyo akili bado haijasettle. Msubiri akue kwanza ndo mfunge ndoa.
 
Hakutakiwa kukuhangaisha hivyoo... Nawe pia ulatakiwa kutohangaika sana kuhusu mwili... Jiweke katika mwili ambao wewe mwenyewe unapenda... Naye anatakiwa kukupenda kwa jinsi ulivyo... Be your self
 

muulize vizuri mwenza wako anatakaje na mmalizane chumbani, hapa jf huwezi ukapata matakwa ya mwnza wako
 

na nyie wanawake bana kwa nini mnapenda sana kuendeshwa na wanaume? baadae atakwambia nataka uwe na makalio makubwa utaenda kwa wachina kufanya mambo
 
Jiwekee switch akisema anataka potable unajiswtch akisema anataka miss bantu unajiswtch ni masuala ya digital haya bana mtu unapata shida kutoka nje kumbe kuna mafundi wanakata 20kg kwa muda wa uchumba tu .sasa mkiachana ukikutana na mwanaume mwingine akikuambia anataka mtu bonge utakula na kujiachia ili uwe bonge pole yako mdada,kazi unayo ukianzianza kunyonyesha matiti yakiwa kama kamba unatupia kwa nyuma mtoto anyonye atasema anataka kitu saa sita sijui itakuaje
 
Huyo atakusumbua. Inaonekana hana maamuzi binafsi, maamuzi yake inategemea wake za marafiki zake wanaonekanaje...
 
He is 30, yaaaan hta simuelew jaman,

@ cuchi pole sana. jambo la muhimu unahitaji kuwa makini sana kabla hujafanya maaumuzi magumu ya either ku ji commit kwake au la!

Mind u.... ki afya sio nzuri kupunguza na kuongeza weight hasa kwa njia za short cut kama vile za madawa.
 
Wanawake wa siku hizi hamna confidence hadi mnaboa...
 
Ana lake jambo huyo hicho ni kisingizio tuu kwani wewe ni girlfriend wa rafiki zake mpaka uendane nao?
 
madawa gani na mazoezi gani ulifanya hadi ukafanikwa kupunguza kilo 20?
 
Kijibaba kilikutamani tu...Kinashindwa kukwambia sepa kwani tayari kimeshatamani nje.Hataridhika nawe milele kama kazi yake ni kukufananisha nje.
 
na nyie wanawake bana kwa nini mnapenda sana kuendeshwa na wanaume? baadae atakwambia nataka uwe na makalio makubwa utaenda kwa wachina kufanya mambo

nilishawahi
kupata
wa
kuniambia
anataka
makalio
makubwa
yani
nilitoka
baru
ckugeuka
nyuma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…