nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Afadhali na wewe umesema.
Kama hela ya mke hailiwi na watoto au mume nani sasa ataila?
Yaani hata jambo la msingi kama elimu ya watoto?
Mie nimeshangaa kwa kweli.
Dah! umepotelea wapi banaaaa!? dah!!!!...nimefurahi kukusoma busara zako na hekima tunazikosa hapa jamvini. Watoto wako ni number one hapa duniani, siku zote ndio inabidi iwe hivyo hasa inapokuja kwemye masuala ya elimu yao na malezi yao. Na elimu ilivyokuwa na umuhimu mkubwa na ushindani wa hali ya juu katika dunia hii ya leo, halafu unamsikia mama yao eti ni bora akae nyumbani!!! kama baba yake hana uwezo wa kumlipia!!! wakati yeye anapeleka mapesa chungu nzima kwa ndugu zake...Mke huyu ana roho mbaya sana halafu ni mbinafsi mnoo. Kauli yake inakatisha tamaa.
Kutoa hela na kubeba mimba kunahusianaje?
Kwani mwanamme hakuchangia naye mbegu ya mahindi hadi mimba ikatokea?
Elimu na kazi ya mwanamke ina kazi gani kwa jamii yake?
Kwa hiyo kwa mtazamo wako, mke kazi yake ni kugegedwa na kuzaa watoto tu?? Eti anafanya kama kusaidia tu... Hivi kumsaidia ndugu yake na kumsaidia mwanae asome kipi ni bora zaid??? Kuna mianamke mingine kuishi nayo ni kama unaishi na na funza....ye ni kukunyonya damu tu...Lol! Hivi huyu ni mwanaume kweli anakuja kulalamika juu ya kusomesha mtoto? Mimi hwa najuaga kuwa baba ndie hubeba majukum yote, mama huwa anafanya kama kusaidia tu........... Hii ndio shida yakuwa na mume asiyejua nafasi yake kama mume, kazi kweli.
Hello BAK...I am back
Malezi nayo ni shida nyingine.. We mtu tangu anazaliwa anafundishwa namna ya kumuibia mume, anafundishwa mafiga matatu, anafundishwa kujenga kwao, hafundishwi namna ya kuwalea watoto vizuri unategemea nini..???Tunatofautiana ujue Kongosho...kuna watu wana enjoy kuwa irresponsible...wengine tunapenda kuwa na responsibility kwa sababu changamoto za maisha zinatufanya tuone sababu ya kuendelea kufanya kazi na kutafuta
Kama sina majukumu si nilale tu home...maana usingizi mtamu.
Wengine wanafikia ku date watu wenye ela za hajabu hata wasiulize wanakozitoa mradi wanwawezesha...mwisho wanaishia jela. miteremkooo ni majanga.
Mimi na wife tumebahatika kupata watoto 2 wa kiume! Mm nafanya kazi dsm yy anafanyia mara. kijana wetu yupo grade 1 kwenye hizi academy! Takriban wiki kadhaa nilienda kumsabahi! Nije kwenye pt niligundua amekuwa akiwatumia ndg zake pesa nyingi paspo kunijulisha nahc kuna business wanafanya yy na dadake! Niligundua baada ya kumwambia kwamba mm kulingana na ujio wangu siko fresh kiuchumi hivo jitahidi ada ya mtoto make ndo wanafungua mwezi wa tisa kwa kifupi alinipa majibu ya kunikatisha tamaa akadai hana hela na isitoshe kwenye ubini wa mtoto anaandikwa yy au mm? Km sitaki kumsomesha akae nyumbani! Nikamuuliza km waweza tumia ndg zako malaki ya pesa unashimdwa nn kumlipia mwanao? Akakanusha wakati mm nilicheki kwenye mpesa ametuma pesa two times tena last month! Tukazinguana sana mm nikapanda basi nikasepa kwa ufupi hana mpango wa kusaidiana na mm ktk kusukuma gurudumu! Nimfanyaje mke wa namna hii?
Tunatofautiana ujue Kongosho...kuna watu wana enjoy kuwa irresponsible...wengine tunapenda kuwa na responsibility kwa sababu changamoto za maisha zinatufanya tuone sababu ya kuendelea kufanya kazi na kutafuta
Kama sina majukumu si nilale tu home...maana usingizi mtamu.
Wengine wanafikia ku date watu wenye ela za hajabu hata wasiulize wanakozitoa mradi wanwawezesha...mwisho wanaishia jela. miteremkooo ni majanga.
Nahisi baadhi ya wanawake hawapendi reaponsibility.
Mimi wala sitoi hela nyumbani kumsaidia mume, natoa hela kujisaidia mwenyewe. Kupata ile sense ya purpose in life, achievement, kuwa useful citzen na mwenye malengo yanayoonekana.
Mie ndio huwa nauliza, ina maana mwanamke ukiolewa na mwanamme mwenye pesa ya kutosha kulisha familia unaacha kazi?
Na kama hutaacha kazi, pesa yako utaaitumia kwa nini?
Na hata kama unataka kujenga kwenu, mume hawezi kuambiwa?
Inakuwaje mtu anafunga ndoa, labda tena kwa kiapo cha 'hadi kifo kitutenganishe', hapo hapo anajiandaa kkwa kujenga nyumba in case akiachika?
Haileti mantiki kabisa kwangu.
Nafikiri tatizo la huyo mama lbd hajui wajibu wa mzazi kwa mtoto , pengine ni wale wamama ambao huolewa mguu mmoja nje na mguu mmmoja ndani au kuna kitu hatukijui ambacho kiko nyuma ya pazia. Si unajua mambo ya ndani bwana kama hakuna mawasiliano hapo kila mmoja anafanya anachoona kinamfaa na anashauriwa na watu wake ikiwemo ndugu , wazazi au marafiki huku wakiicha nyumba yao maana ukioa/kuolewa yapasa mshauri wa 1 awe mwenzi wako. Kati yao lipo tatizo ambalo wanapaswa kulitafutia ufumbuzi.Labda wengine tuna 'Think like a man' maana mie nina ndoto nyingi za maisha utadhani sina mume....
sijawahi kuwa tegemezi maishani mwangu...yale ya 'sijuhi nimpate nani wa kuninunulia gari...' sijawahi...mimi nawaza kununua gari aina fulani siyo kununuliwa...' nimelelewa kuwa independent saana...ila siyo mchoyo changu chetu.lol.
...unaaibisha wanawake wenzako bana....
Sion umuhmu wake make yy yupo mbali na mm kwa hiyo kupika kufua nk nafanya mwenyewe ss km hana contr. Yeyote kwenye hili no way! Siwez kumvumilia hata kidogo