dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,475
- 2,078
Kwa wale wa Dar au mnaopitapita pande hizi .Tusaidiane kitu labda mimi mgumu kuelewa.Huu mkorogo wa jina la kituo kinachotumikaSasa baada ya kile kilichokuwepo Ubungo Tanesco kuhamishwa siuulewi bado na inaniwia vugumu badoPale ambapo baadhi ya vyombo vya habari vikizungumziaHabari kuhusiana na eneo hilo Wanasema KITUO KIPYA CHA UBUNGO, Ilhali Gari za kutoka maeneo mengineZimeandikwa kuishia SIMU2000,Wakati ambapo kituo chenyeweKina bango kubwa tu linasomeka KITUO CHA DALADALA SINZA.Mimi najiuliza kipi ni kipi na nini nini hapa?Aaagh!!!