Kuna kuchemka kwa kawaida hapo najua ni kawaida ya simu za android, lakni kunakuchemka kwa simu hata kama unaichaji tu bila kuwasha data au hauitumii kwa matumizi yoyote.Kwa ninavyoelewa( kuhusiana na simu kuchemka) sidhani kama ku-upgrade kutoka simu za kiwango cha chini utafute ya gharama zaidi kwamba ziko ambazo ukifanya hizo kazi hazichemki, sidhani kama ziko.
Mimi natumia Xperia z3 na kuchemka kwake ni kama kawa hasa nikiwa nimewasha data.
Kitu nilichogundua ni kwamba, Android phone apps zake zinaconsume ram sana. Simu kuchemka ni matokeo ya ram kutumika sana.
Nikawa nafuatilia review ya hii simu mpya SGS7 Edge, ambayo ram yake ni 4GB, na wengi wanasema haichemki km simu nyingine.
Sasa sijui km ni kweli. Ila kwa simu ambazo sijawahi kusikia malalamiko kwamba zinaoverheat, lumia is the best.
Ok basi kama ni kuchemka hivyo, hebu tafuta Xperia z3 compactKuna kuchemka kwa kawaida hapo najua ni kawaida ya simu za android, lakni kunakuchemka kwa simu hata kama unaichaji tu bila kuwasha data au hauitumii kwa matumizi yoyote.
Kama huku kwetu c8 inauzwa kati ya 320000 na 350000 halafu bado inazingua je, huoni kama zingekuwepo lg, Samsung, HTC, sony na simu za makampuni mengine hata kwa kuongezea kiasi hapo kwenye 350000 unaweza kupata simu nzuri tu.
Sina uhakika sana, ila itakuwa ndani ya hizo bei ulizotaja. 300,000 hadi 350,000 sidhani km itazidi hapoNitapata kwa bei gani?
Nakushauri uanze kupikia tu!Natumia sony experia V inachemka hadi inayeyusha screen protector
Sijawahi kuitumia lakni wengi wanaisifia japo kamera ina 4mp.Mkuu MimiTena
Kuna simu ya model HTC One Max nimetokea kuvutiwa nayo sana. Una ujuzi nayo unaweza ukaelezea hapa japo kwa kifupi.
Pili, sikumbuki vema kati ya mwaka jana au juzi HTC One nadhani ilitangazwa simu bora ya mwaka. Je kuwa simu bora ya mwaka ina maana wanaangalia mauzo na ubora nq content ya hizi simu au technolojia au nini hasa vinaangaliwa