Simu zinazoongelewa na massege

Simu zinazoongelewa na massege

MSAADA wataalam,
kwa anaefahamu jinsi ya kuweza kugundua simu zinazopigwa toka simu nyingine na msg ukawa unazipata na kwenye simu yako kama zilivyo bila ya muhusika kujua…

kama bado hujafanikiwa niTAFUTE . software ninayo, ipo mie nimeinunua. nimeruhusiwa kutumia simu 5. nimetumia moja tu na bei ni buku 10 tu. tunaweza kushare ukitaka. PM KAMA UNAHITAJI
 
heee unataka kumtega mkeo au barafu wa moyo wako shauriro yatakushinda
MSAADA wataalam,
kwa anaefahamu jinsi ya kuweza kugundua simu zinazopigwa toka simu nyingine na msg ukawa unazipata na kwenye simu yako kama zilivyo bila ya muhusika kujua…
 
Kuna moja inaitwa Might Texty, ni simple sana ipo kwa android, unainstall kwenye simu unayotaka ku pata info (kuna option ya kui hide), unacreate account kwa kutumia email(free) then wewe unatumia webpage kupata details za simu na kusoma massage zoote zinazoingia na kutoka kwenye hiyo simu..tatizo lake ni kuwa lazima utumie pc ili kupata data za hiyo simu na hiyo simu iwe online/connected to internet ili upate hizo data, na huwezi kusikiliza simu ya mtu iliyopigwa moja kwa moja ila itakupa tu details kuwa kuna simu ya mtu flani iliingia au kutoka mda flani..uzuri wake ni kuwa kama simu ikiwa connected kwa net unaweza kuona kabisa saiz simu ndo inaingia au inatoka na same kwa sms..pia kuna plugin yao ipo kwenye chrome unaweza install then ukifngua chrome yenyewe inakuwa inatoa notifications ya sms na simu zote zinazoingia na kutoka at real time..ni free!!

mfano wa screen short nnayotumia mimi (use it at your own risk..mi natumia hii kwa simu yangu for fun ..ambayo huwa maranyingi naiacha nyumbani kwa lengo la kujua nani alinitafuta )
dd.png
dr.png
 
View attachment 127456
View attachment 127457

Ngoja nijalibu ndugu
 
Back
Top Bottom