sungura1980
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,909
- 1,225
umenichekesha eti cm inafichwa kwenye ndoo ya mchele!hahahahaha
Ndo maana yake,kuna rafiki yangu aliikuta kwenye kapu la nguo chafu wakati wanamtafuta panya,alafu mke akasingizia ni ya rafiki yake ilipotea muda wakati wako sebuleni na pengine panya ndo atakuwa ameipeleka huko!Hata wanaume wanaacha simu kazini kwenye madroo ya meza zao!