simu zimeanza kupigwa landmark for interview

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,825
Reaction score
3,092
kuna yoyote alie pigiwa simu kutoka landmark hotel mbezi beach tujuzane wana jamvi tuondoe hii sitofaham

ONYO
wale watakaosherekea siku yao 1/4/2013 wakae pembeni na uzi huu.
 
haya watatujuza
 
Ukiona hivyo watu walishachukua kazi zao zamani

kwa hiyo humu ndani hayupo hata mmoja interview kesho kazi wamechukua vp na hotel mpya na kubwa ina maana ktk wafanyakazi mia wapya jamii forum isitoe hata mmoja
 
appoh vipi kesho unaenda bagamoyo (landmark)sa ngapi?

we kwani kule ndio bagamoyo maana siku niliopeleka barua nilitembea gafla nikajikuta nimetokezea baharini . dah siwezi kwenda coz full utata haieleweki natafuta mchongo mwingine
 
apple sorry appoh. mbona hivyo kiongozi maujanja yote yale nilokupa umembwela mzazi
 
Last edited by a moderator:
appoh mbona unanitisha mzazi, kwani interview mshapiga ama?

Naona kama unaogopa, mara kuna rushwa kule, we kapige interview bhana.
 
Last edited by a moderator:
we kwani kule ndio bagamoyo maana siku niliopeleka barua nilitembea gafla nikajikuta nimetokezea baharini . dah siwezi kwenda coz full utata haieleweki natafuta mchongo mwingine

Ibuka hivyo hivyo usichezee bahati labda kama hutaki kazi kijanaa
 
naheshimu tangazo bhana si unajua mi msomi nafata utaratibu wa maandishi sio wa mdomo tangazo linaeleza wazi watu wachache watapigiwe simu sasa nikafanye nini nifuate maelekezo ya yule mzee mzee mwenyewe anaonekana mlevi wa gongo
 
Heshima zenu?

Kwanza kabisa mara nyingi HR Department za ibongo huwa wanaweka malengo na ni ngumu au hayana uhalisia ktk utekelezzaji na ndio ujanja ujanja unapoanzia, nina uzoefu mkubwa wanakuambia tareh 20 usaili wakati hata kufupisha orodha (shortlisting) hawajafanya/hawajamaliza.

Na kama ikitokea sehemu ya kuajiriwa halafu mnaambiwa wote mliomba muende kwenye usaili hiyo sehemu ni ya kuogopa kama ukoma. Huwezi kuita watu wote waliotuma maombi kwenye usaili kama kweli uko makini.

Kama ningelikuwa mimi ningesubiria tu simu wasipopiga basi, RIZKI HAIVUTWI KWA KAMBA!!
 
Tangazo lao linaonyesha kila kitu kuwa wataita wenyewe so ww ukijipeleka utaonekana kama nani taahira
 
kweli kabisa maana hawa jamaa hawaeleweki kabisa wana leta reason of dought
 
Back
Top Bottom