Simu za Xiaomi

Simu za Xiaomi

Black fire

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
755
Reaction score
1,323
Habar wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikiona nyuzi mbali humu jukwaani na kwa baadhi ya watu kuhusu hz simu za Xiaomi kwmb ni simu bora. Nataka kuagiza simu ya Xiaomi RedMi 4x. Naomba mwny uzoefu nazo aniambie. Nmekuwa nikisikia mazuri tu ya hizi simu naomba ambaye ashawahi kuzitumia anipe maelezo ya kutosha hasa changamoto za hizi simu ili nifanye maamuzi ya mwisho kabla sijaagiza.

Nitashukuru sana
 
Hahahahaaa nimewah kuiona xiami moja ila nikahis hawana uhusiano mzuri na google maana haikua na google playstore...sasa sielewi
Na ilikua ndogo tu ila inagraphics nzuri...camera kali ..sio nzito inshort ni nzuri ila playstore tulidownload
 
Ndo maana nikaomba waliowahi kuzitumia watupe uzoefu.

Kuna rafk yangu anayo nmeipenda na ndo kazd kunishawishi. Lakn yake ni kubwa zaidi ya ninayotaka kununua
 
Inauzwa sh ngap kwa hapa bongo
Upatikanaji wake ni mgumu kwa hapao TZ, huwa tunaziagiza, Kwa taratibu za manunuzi ingia kwenye huu uzi: www.bit.ly/101buy4me
upload_2017-10-30_14-57-51.png
 
Habar wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikiona nyuzi mbali humu jukwaani na kwa baadhi ya watu kuhusu hz simu za Xiaomi kwmb ni simu bora. Nataka kuagiza simu ya Xiaomi RedMi 4x. Naomba mwny uzoefu nazo aniambie. Nmekuwa nikisikia mazuri tu ya hizi simu naomba ambaye ashawahi kuzitumia anipe maelezo ya kutosha hasa changamoto za hizi simu ili nifanye maamuzi ya mwisho kabla sijaagiza.

Nitashukuru sana
Ni Mwaka sasa natumia Xiaomi Mi Max Prime 4GB Ram 128GB Battery 4850. Ipo kama ilivyokuwa siku ya kwanza.Sijutii kuinunua
 
Back
Top Bottom