Watafatilia simu zote?. Tuanze kumiliki bunduki majumbaji mwetu kwa usalama wetu wenyeweNawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida lakini whatapp ndiyo hawawezi nawajukisha
HahaWatafatilia simu zote?. Tuanze kumiliki bunduki majumbaji mwetu kwa usalama wetu wenyewe
Hawawez kusikiliza Simu zaidi ya million 40, at once unless uwe primary suspect waanze kukufatilia, mambo mengine nikujipa uwoga wakisenge Senge TU..piga normal call shida nini?Nawajukisha tu ukitumia whatapp pekee ndiyo hawawezi kukurekodi lakini ukiongea na simu ya kawaida Tanzania hasa kwa simu ya nje wanakurekodi . Kuweki makini kuongea siasa kwa simu za kawaida lakini whatapp ndiyo hawawezi nawajukisha
Dunia iko mbele sana mkuuHawawez kusikiliza Simu zaidi ya million 40, at once unless uwe primary suspect waanze kukufatilia, mambo mengine nikujipa uwoga wakisenge Senge TU..piga normal call shida nini?
Lakini sioni jambo baya mtu kuongea na familia yake!Dunia iko mbele sana mkuu
Siyo tu kuongea na family yake ,hakuna ubaya pia hata kwa kuikosoa serikali yake .Lakini sioni jambo baya mtu kuongea na familia yake!
Nimekupm dear 😢Mie niko bongo, hivyo nawapata vizuri tu.
Hii ndio solutionWatafatilia simu zote?. Tuanze kumiliki bunduki majumbaji mwetu kwa usalama wetu wenyewe
Hata kama upo nje tafuta namna ongea na ndugu,japokua leo ama kesho neti watarudisha...Nimekupm dear 😢
Tumia akili basi hata kidogo.Dunia iko mbele sana mkuu
Hata SMS pia haiwezekani. Filter gani hiyo ya kusearch na kukupa matokeo mazuri? Sio rahisi. Na ikitokea hivyo, mitandao ya simu ni kukosa uadilifu, tutarudisha tena kuuana kwa kukosa uhuru wa mawasiliano.Hawawez kusikiliza Simu zaidi ya million 40, at once unless uwe primary suspect waanze kukufatilia, mambo mengine nikujipa uwoga wakisenge Senge TU..piga normal call shida nini?