Watanzania vichwa vigumu hawatakuamini. Watu wanaiona TCRA kama CIA au FBI.Kuwa free hawawezi rekodi wala hawana uwezo wa kusikiliza simu zote. Watasikiliza targetted tu.
NSA wenyewe hawana huo uwezo
Watanzania vichwa vigumu hawatakuamini. Watu wanaiona TCRA kama CIA au FBI.Kuwa free hawawezi rekodi wala hawana uwezo wa kusikiliza simu zote. Watasikiliza targetted tu.
NSA wenyewe hawana huo uwezo
Hawana huo uwezo wala hawana watu wa kusikiliza simu.Watanzania vichwa vigumu hawatakuamini. Watu wanaiona TCRA kama CIA au FBI.
Hawawezi mkuu kwa zaidi ya watu 40m.Hawana huo uwezo wala hawana watu wa kusikiliza simu.
Watu ambao nina uhakika simu zao zinasikilizwa ni
Viongozi wote wa chadema
Wanaweza kwa watu wachache sana hao kina Heche, Lissu, Mnyika etcHawawezi mkuu kwa zaidi ya watu 40m.