Juma Kimbo
Member
- May 20, 2017
- 7
- 6
Naomba msaada kama kunawezekana kubadilisha mfumo wa CDMA kuja 3G kwenye simu zenyewe.
kama ina camera pigia picha, au fanya calculator. mi nnazo za sasatel hapa kibao hazina maana. huo ndo ubaya wa cdma.Hizi simu ina maana ni za kutupa sasa, naomba mawazo mbadala
Asante kwa majibu ya busara.kama ina camera pigia picha, au fanya calculator. mi nnazo za sasatel hapa kibao hazina maana. huo ndo ubaya wa cdma.
na WCDMA ndio 3g au?kama ina camera pigia picha, au fanya calculator. mi nnazo za sasatel hapa kibao hazina maana. huo ndo ubaya wa cdma.
yap wcdma ni 3G upande wa GSM, kwenye cdma 3G yao inaitwa EVDOna WCDMA ndio 3g au?