Simu za tachi skrini noma.....

Simu za tachi skrini noma.....

Gwesefe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
682
Reaction score
382
Simu za tachi skrini noma!
Hizi simu za tachi skrini zinavyosumbua ni balaa tupu. Mdada kanunua akawa anashindwa kutuma meseji kwa bebi wake:
Mdada: Bebw mambwo?
Jamaa: Poa nambie.
Mdada: Vipww umeralwz?
Jamaa: Unasemaje?
Mdada: Naurriisa umeraalwz?
Jamaa: Mhhh! Sijalala baby hata usingizi sina.
Mdada: Nie menyew cjalwara kumna mijitu inampiga kerelwe hapa kwettu hadi inaboowa.
Jamaa: Nini?
Mdada: kuna kelelwe hapa nje ya numba etu usingizwi hakuna kabiswaa.
Jamaa: Ha ha haaa! Pole baby wangu.
Mdada: Bwebi mbona unanichekwa sawsa?
Jamaa: Jaribu kuandika vizuri honey!
Mdada: Hehehwehwe, c unajuwwa cimun mupya arraf sikirini taschi kila nikibinywa elufi hii inakunya na nyingwine, pwelo bebwi wangu!
Jamaa: ha ha haa haya dear.
 
moder embu peleka kuleee jukwaa la vichekesho alafu ipo humu siku nyingi ipo hv hv
 
Simu za tachi skrini noma!
Hizi simu za tachi skrini zinavyosumbua ni balaa tupu. Mdada kanunua akawa anashindwa kutuma meseji kwa bebi wake:
Mdada: Bebw mambwo?
Jamaa: Poa nambie.
Mdada: Vipww umeralwz?
Jamaa: Unasemaje?
Mdada: Naurriisa umeraalwz?
Jamaa: Mhhh! Sijalala baby hata usingizi sina.
Mdada: Nie menyew cjalwara kumna mijitu inampiga kerelwe hapa kwettu hadi inaboowa.
Jamaa: Nini?
Mdada: kuna kelelwe hapa nje ya numba etu usingizwi hakuna kabiswaa.
Jamaa: Ha ha haaa! Pole baby wangu.
Mdada: Bwebi mbona unanichekwa sawsa?
Jamaa: Jaribu kuandika vizuri honey!
Mdada: Hehehwehwe, c unajuwwa cimun mupya arraf sikirini taschi kila nikibinywa elufi hii inakunya na nyingwine, pwelo bebwi wangu!
Jamaa: ha ha haa haya dear.

Mhhh!
Halafu unamjua mtu aliye kwenye avatar yako? Angali, Ohoooooo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom