Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Hami mi sina duka kwa sasa
.mzigo nasafir nje na kuleta...hivyo ukitaka mzigo nitafute kwa simu tuzungumze boss
We mzee, nna sms zako tulizowasiliana baada ya kukubliana ulete simu.. namba yako ninayo ... EBU TUAMBIE, NI KWELI UNAUZA SIMU AU UNATAKA KUTUPIGA CHANGA? MAANA NIMEWASILIANA NA WEWE HUSEMI LOLOTE NA KWA SASA HUPATIKANI
 
nimepitia huu uzi wa huyu ndugu yetu kiukweli nahitaji kununua simu kwake ila kila akiulizwa uko wapi?anarukaruka tuuu mara mtu ataje alipo utasikia utaletewa simu yako yupo mtu nikifika hapo tu miguu inakufa ganzi
 
Hawa ni wababishaji na ikibidi huu uzi ufutwe na mods,hatuwezi kuwa tunaamini kuna biashara afu wanachikichia..bure kabisa hawa
 
Huyu jamaa aliishia wap? Kuna waliofanikiwa kufanya bussines nae? Whetever awe anazo yeye au yeyote humu nina shda na hz nokia
nahtaj pc tatu,

E6
E55
E72
E75
E90

N81
N82
N85
N96 au nokia 112 dual sim, nataka mbili au tatu zozote kat ya hzo hapo.

VERY SERIOUS
 
Shanitapeli huyo achana nae tapeli mkubwa huyo
 
AShanitapeli huyo achana nae tapeli mkubwa huyo
 
Nataka Nokia lumia 1520
 
we jamaa soma uzi uone, wenzako wamekula za shngo na wewe unataka ukale za uso?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…