Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Na ulisema mzigo utakuja nao DSM posta,siku tuliyokubaliana kukutana ukawa hujibu text na bahati mbaya sikuwa na dakika za kukupigia
Yaan Na Mimi hivyo hivyo ikifika siku ya ahadi MTU anapotea kabisa mpk aumin km ndio yy Uliekua Unawasiliana Nae Siku Moja Kabla...Labda Mkuu Anaaangalia Alie Mzembe Kwenye Pesa Zake Ndie Amzamishe.
 
Ila nawe si yaishe mbona mmeulizwa kama kuna mtu aliyewahi kuliwa hela yake mbona hajitokezi sa utapeli wake uko wapi au mnapenda magomvi tu.
Na Pia Hakuna Mtu Alieleta Evidence Ya Kufanikiwa Kwenye Hii Biashara Na Pia Muhusika Ajaleta Evidence Yyte Ya Biashara Yake Zaidi Ya Maneno Tuuu Hakuna Picha Halisi Za Simu, Even Yy Mwenywe WhatsApp Hana, Anasema Anao Wateja Ajajitokeza Hata Mmoja, Pili Ukikubaliana Nae Inshue Aitatimia Kamwe Sasa Kwa Mambo Haya Watu Wafikirie Nini?
 
Usidanganye watu humu mkuu
Hizi lazima zitakuwa copy
Nimeuza simu mwaka wa 5 sasa
Kuwa wazi usiaribu jina humu
 
Dah mkuu nimefatilia uzi wako ila sijaona mtu hata mmoja aliyeleta ushuuda wakupata simu zaidi yalawama2 kama utakuwa serious nahitaji Nokia Obama original nanitachukua kuanzia cm 10 ila nipo mkoa
 
Mkuu weka namba za cm bx tafadhal
 
Dah mkuu nimefatilia uzi wako ila sijaona mtu hata mmoja aliyeleta ushuuda wakupata simu zaidi yalawama2 kama utakuwa serious nahitaji Nokia Obama original nanitachukua kuanzia cm 10 ila nipo mkoa
Ok.niko safarn mkuu.nkirud ntaktafta.thankx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…