Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Mkuu Mimi Nakushukuru Kwa Kunipotezea Muda Wangu.
Elick ndgu yangu nko bdo safar,kesho ndio nasafr kuja tz,uwe mvmilivu,nitaondka na flight ya kesho jion,uvumilie,pole kwa usumbufu.
 
Elick ndgu yangu nko bdo safar,kesho ndio nasafr kuja tz,uwe mvmilivu,nitaondka na flight ya kesho jion,uvumilie,pole kwa usumbufu.
Kwahyo Umesafiri Siku Tuliokubaliana Kufanikisha Biashara? Kma Ndio Why Ulikubali While Ulijua Unasafiri? Mkuu Mimi Sina Imani Tena Na Hii Biashara Na Sina Cha Kuvumilia Watu Walio Sirias Na Wanachokifanya Hawawi Hivi. But huwa sipendi kupotezeana muda.
 
Tapeli wewe
Ok,hata ukija kunichafua kwenye thread zangu,stakushangaa,na bhat nzur hakuna hata mtu mmja niliyekula pesa yake.,na kama yupo ajitokeze.usipopta bidhaa unayoitafta kwangu au tusipoafikiana ndio unichafue?bitch,nataka uthbitishe kwa watu ni sent ngap nimekutapel,i wil be ready to prove out.
 
Poa kiongz,nimechelewa kuleta mzgo ktokana na delay ya ninapochukua mzgo,hvyo kama utavmilia vumilia ila kama huwezi,pia ni vyema.maana pia nanunua mzgo,hvyo kukitokea delay yoyote huwa inaharibu ratib yote,
 
Ulisema mzigo unao mkonon Leo unasema ulichelewa kutokana Na delay ya unapochukulia mzigo[emoji15] [emoji15] .....Nimetosheka Sasa...All The Best[emoji119]
 
Mkuu Mshukuru Mungu pesa yako haijaliwa hawa watu ni wezi
 
nilikua disappointed Sana napiga anapokea mdada ananambia baada ya wiki 2,inaonekana Mkuu hukujipanga!
 
nilikua disappointed Sana napiga anapokea mdada ananambia baada ya wiki 2,inaonekana Mkuu hukujipanga!
Kwanza nakupa pole,huyn dada aliyepokea yuko tz na anahusika na usambzaji,hvyo subr nije mzgo utapata.na pesa hutoi kama mzgo haujapata.usidanganywe na mtu yoyote,simu nikileta kama umetoa order utapata bila shda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…