Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,074
- 43,530
- Thread starter
- #61
symbian haicompete na ios na android maximum specs zake ni ndogo kuliko low end za android. simu yenye specs kubwa zaidi ya symbian ni nokia 808 yenyetuwe wakweli jamani wamgapi wapo tayari kuachana na ios na android ikitokea nokia wamekuja na mambo ya symbian? tukirejelea ilivyokuja windows ktk lumia. Wangapi walienda huko
-ram 512mb
-kioo 640x360
-processor single core 1.3ghz
kama symbian inarudi au wataifanya open source wachina watutengenezee simu basi bei zake zitakuwa chini ya laki 1 hadi around 50,000 inawezekana kutengeneza simu ya symbian.
zipo symbian zina ram hadi 64mb, processor za 300mhz na vioo vya 240x320 na zipo fast zinafanya multitasking hadi app 50 kwa pamoja bila kulag. ns multitasking ya symbian huwezi kuta mahala popote kwenye simu si android si wp si ios labda kwenye distro za linux kama meego/sailfish/tizen unaweza pata multitasking kama hii, unaacha app hata siku 3 unarudi unaikuta pale pale instant hakuna resume wala loading yoyote. cheki hii video
symbian ikirudi itasaidia sana sasa hivi kama una budget chini ya laki 1 either ununue android low end ambazo hata kufungua apps ni tabu au utafute simu za kichina ambazo hata opera ni shida