Simu za Mikopo Scheme Mpya za Utapeli

Ila kama pikipiki unaifanyia biashara it's good deal kwasababu hela iliotoka mfukoni kwako ni 400,000/- tu. Tatizo hatuna nidhamu ya fedha.
 
Mkuu,
Ukishaitwa mkopo, lazima mkopeshaji aangalie faida, kuna risks factors nyingi hapo. Ikiharibika kabla ya mkopo kuisha kuna namna wanafanya hapo. Tusiangalie tu upande wa mkopaji, hata mkopeshaji anakuwa kwenye risks nyingi.
Mkuu ila hizi kampuni kwa sasa huwa zina bima yaani wamejiandaa kwa lolote jambo
 
Hawa jamaa hesabu zao zinaumiza chief..
Mwaka 2023 sumsung A04e Gb 64 walikuwa wanatoa kwa kianzio cha 90,000Tsh kisha unarejesha 12,000 kwa wiki ambayo nisawa na 1715 kwa siku..so 715×350=617400..
Sasa iyo 617000+90000=707000 simu ambayo cash inauzwa 250,000
 
Kuna bi mkubwa mmoja Dodoma nilimuokoa yaani anataka kununua simu ya mkopo ukipiga hesabu anatakiwa kulipa 400+k wakati dukani simu ni 300k hapo kuna 100k anapasuka bado kianzio 80k 😔
 
Kuna bi mkubwa mmoja Dodoma nilimuokoa yaani anataka kununua siju ya mkopo ukipiga hesabu anatakiwa kulipa 400+k wakati dukani simu ni 300k hapo kuna 100k anapasuka bado kianzio 80k 😔
AFu kingine cha hatari hizi simu sio nzuri saaana maana jamaa wanajua umefanya nini unaingia wapi na muda gani simu inakuwa haina ulinzi
 
Umeongea vizuri mkuu, nchi ambayo wendawazimu wapo kila kona, waongo, watu hata permanent address hatuna, unategemea upewe mkopo wa 10% interest? Katika wakopaji 100, naamini 20 wana-default, mkopeshaji anaangalia risks zote hizo, lazima riba iwe juu.

Na watu wanakopa sana tu coz cash hakuna, ingekuwepo wala mikopo usingeona inatrend hivi
 
Majuzi kati kuna mfanya kazi wao alinipanga na kuniambia huwa wanabima kutoka kampuni ya finca na hivyo hata vifaa vyao vikipotea huwawanalipwa na hiyo kampuni
Sawa bima zipo, lakini hazilipwi tu kitahisi mkuu, wewe mwenyewe unazijua process za kuwa compensated!!
 
Hapo juu nimeandika exactly wanavyokata, Samsung A06, binafsi naona ni sawa tu, ongezeko la 110,000-150,000 kwa mtu ambaye kusimgekuwa na option hiyo asingeweza kumiliki smartphone, ni sawa tu!!
 
Hapo juu nimeandika exactly wanavyokata, Samsung A06, binafsi naona ni sawa tu, ongezeko la 110,000-150,000 kwa mtu ambaye kusimgekuwa na option hiyo asingeweza kumiliki smartphone, ni sawa tu!!
Mkuu unaiweka simple sana 😃
 

Huo Tayari Ni Mkopo Na Ni Biashara Lazima Mtu Apate Faida Pia...Mambo Ya Kalkulesheni Ni Jukumu La Mkopaji,,Yani Ulipe Simu Mwaka Mzima Then Uhitaji Bei Iwe Sawa Na Yakuchukua Keshi..??Utakuwa Upuuzi Huo,,Hata Hizo Za Keshi Bado Watu Wananyukwa Tu Vizuri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…