Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Unahangaika na simu fake??? Nunua simu original. Hakuna simu za line mbili! Simu unaitumia kwa mashaka! Loh
mkuu naomba unifahamishe hiyo model ya mampuni makubwa nami nizitafute hapa kijijini kwetuJibu swali la mdau...simu zenye laini mbili zipo....hata makampuni makubwa kama Samsung wana hiyo simu.Acha kuanza kuleta majungu hapa...kama unajua tatizo changia kama hujui chukua likizo!
Kwa takwimu tu; zaidi ya asilimia 60% ya bidhaa fake zilizokamatwa hivi karibuni zikiingia EU zilikuwa zikitokea nchini China. Sasa ukisema kwa kuwa China wanatengeneza bidhaa nyingi zinazouzwa Ulaya, then duniani then hakuna fake, hapo si sahihi. Binafsi nimeomba kufaham hizo brand za line 2 tuanzie hapo kwanza.Kwa jinsi unavyoeleza tatizo haliweze kuwa ni la simu. Simu ni brand gani na inatumia line gani na gani.?
Nikihama kwenye mada sio kweli simu zenye chip mbili au simu za kutoka china ni fake. Nokia hawana kiwanda sweeden lakini wana kiwanda China na Brazil. Kwa nini???? Utasema Nokia wamefungua Kiwanda China sababu wanapenda kutengenza simu fake? Tuache siasa
Nahakika Kampuni za simu zikiingiza kwenye soko/ contract simu zenye chip mbili watu watazikimbilia lakini hawawezi kufanya hivyo sababu ya kibiashra sio kwa sababu ni fake.
mkuu naomba unifahamishe hiyo model ya mampuni makubwa nami nizitafute hapa kijijini kwetu
Website la ukweli hilo, makampuni ya kichina hapo ni out of bounds
Kwa takwimu tu; zaidi ya asilimia 60% ya bidhaa fake zilizokamatwa hivi karibuni zikiingia EU zilikuwa zikitokea nchini China. Sasa ukisema kwa kuwa China wanatengeneza bidhaa nyingi zinazouzwa Ulaya, then duniani then hakuna fake, hapo si sahihi. Binafsi nimeomba kufaham hizo brand za line 2 tuanzie hapo kwanza.
Kuna LG wao wanayo model ya KS666 http://www.lg.com/ae/mobile-phones/all-mobile-phones/dual-sim-phone.jspmkuu naomba unifahamishe hiyo model ya mampuni makubwa nami nizitafute hapa kijijini kwetu
Wadau, Tangu jana simu za line mbili zimekuwa zikigoma kufanya kazi.... Utakuta line moja inakubali lakini ile ya pili inasema EMERGENCY... Jeh! Kuna mtu anaweza kujua source ya tatizo hili??? kwa sababu ukiwa Posta, Kariakoo na maeneo ya wilaya nyingine kuacha Temeke hapa Dar, zote zinafanya kazi.
Sio fake bana labda sema sema ni countfeit. To me ni ushindani wa kibiashara na mambo ya kodi. anyway ngoja tupate elimu ya issue ya jamaa
Kuna LG wao wanayo model ya KS666 Dual Sim Phone | All Mobile Phones | LG Electronics UAE